Unawashauri Nini Form six graduate wanaoelekea vyuoni ?

Unawashauri Nini Form six graduate wanaoelekea vyuoni ?

Mhung

Senior Member
Joined
Jun 20, 2025
Posts
163
Reaction score
176
College, Institute, University Graduates, Watumishi wa Umma munawashauri Nini ndugu zetu wa form six wanaojiandaa kwenda Vyuoni?

Ukizingatia Ufaulu wao ulivyo juu, Competition ya admission ya vyuo itakavyokuwa na kubwa zaidi maisha baada ya kusoma watakaporudi mtaani.

Ni kozi Gani unawashauri Vijana iwe vipao mbele vyao hasa ukizingatia Fursa za ajira upande wa utumishi na Private sector.
 
Back
Top Bottom