DOKEZO Haki iko wapi? Ufisadi na unyang'anyi Chuo Kikuu Iringa (UoI)

DOKEZO Haki iko wapi? Ufisadi na unyang'anyi Chuo Kikuu Iringa (UoI)

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
Tunataka usawa, kwa wanafunzi wote na siyo udanganyifu unaendlea kutendeka maamuzi yasiyo na usawa ikiwa wote tumestahili adhabu.

Ni kivipi wachache watumikie adhabu na wengine kusamehewa pasipo sababu za msingi.

Je, kuna vigezo tofauti baina ya wanafunzi ili kutumikia adhabu, au ni mazingira fulani yametengenezwa kuondoa usawa.

Tunaomba majibu sisi tulio wanyonge tusio fahamika kwa mtu yeyote

Screenshot_20250711_102813_Gallery.jpg
 
Back
Top Bottom