Habari za mida hi wakuu
Kama kichwa kinavojieleza apo juu hivi inaezekana mtu kubadilisha kozi moja kwenda nyingine mfano nursing kwenda clinical medicine. Au kutoka phamacy kwenda nursing...
Habari ndugu walimu,
Kama title I navyojionyesha kumekuwa na malalamiko na manung'uniko kuhusu huyu mdudu CWT kuwa ni mnyonyaji wa walimu na sio msaada tena...mimi nilikuwa mmojawapo wa watu...
habari za wakati huu wanajamii forums, ninashida ya kutaka kujua kitu kutoka kwenu kwa wnye uwlewa juu ya hili. simply nina diploma ya records ya 4.1 GPA, je naweza kujiunga na kozi ya bachelor of law
Tafadhali Naomba kujua upangaji mkopo chuon Tayar maana chuo knafunguliwa tar 3 November ,2018 sa mtu anajuaje Kuwa kapata aslmia ngap na alipe kias gan? Kwenye acc ya kila mmoja No changes Msaada plz
jamani bodi ya mikopo mmekuwa kikwazo kwa watoto maskini kutimiza ndoto za kupata elimu ya juu.
ni kwamba majina yaliyotangazwa kuwa wanafunzi wamepata mikopo ni uongo wa hali ya juu, sijui...
Hizi habari zenu sijazielewa, mnajua kuwa sijaconfirm wala kufanya mawasiliano na nyinyi, sasa hizi admission letter na joining instruction mnazoniwekea kwenye account yangu za nini na mna maana...
Wakuu mimi ni mwanafunz wa diploma mwaka wa pili kozi ya maabala. Kilichonifany niombe msaada kwenu ni kwamba inawezekana mtu akawa na gpa ya 2 na akadisco?
Nahitaj yeyote mwenye kufahamu juu ya...
Ndugu wanajukwaa salamu kwenu,kwa wale wote wanaotafuta udhamini na udahiri wa shahada ya umahiri/uzamili nchi za nje tafadharini sana tupeana mikakati jinsi ya kufanikisha swala hili nyeti...
Jamani naombeni msaada wa Notic za Diploma in Clinical Officer. Unaweza kunitumia ktk Email (marcoyohana2@gmail.com) Nitashuku sana kwa atakae nisaidia.
plz help me this question wana jamii forum.
With examples from east or west Africa,show how company rule helped to create European colonization in Africa.
Habari wakuu,hivi wanafunzi wanaosomea diploma ya ualimu wa shule za msingi wanamaliza lini,maana nna mdogo wangu anasoma chuo cha ualimu kleruu anadai nacte wamewatangazia kumaliza mwezi wa nane...
Endapo umekuwa ukisumbuka kwa muda mrefu kutafuta mtu au sehemu kwaajili ya kujifunza lugha ya Kiingereza bila kuathiri ratiba yako ya kila siku, basi Uzi huu unakuhusu.
Karibu ujiunge na darasa...
FROM THE OFFICE OF THE RECTOR
The National Institute of Transport (NIT) is a public higher learning institution located on west of Dar-es-Salaam City, along Mabibo Road in Ubungo Light Industrial...
awamu ya nne ya udahili wa wanafunzi vyuoni kwa ngazi ya shahada 2018/2019
itatoka lini? maana hii ndio awamu ya mwisho inasemekana wanafunzi wote ambao bado awajapata vyuo watapata wote kweli?
Jamani habari ya loan allocation ndio kusema kwamba mchanganuo utajulikana ukifika chuo au heslb watatuma kwenye account za applicants. Mwenye taarifa tafadhali tujuze au hata kama kuna loan...
Naomba nianze kwa kuwapongeza wale wote mliochagua na mkachaguliwa kusoma chuo cha taifa cha usafirishaji NIT. Natumia nafasi hii kuwakaribisha chuoni kwani leo ndio siku ambayo registration...