Kwa waliosoma Diploma in Clinical Officer

Kwa waliosoma Diploma in Clinical Officer

Kwetu Mz

Member
Joined
Aug 20, 2014
Posts
21
Reaction score
3
Jamani naombeni msaada wa Notic za Diploma in Clinical Officer. Unaweza kunitumia ktk Email (marcoyohana2@gmail.com) Nitashuku sana kwa atakae nisaidia.
 
Ase bado unawaza mambo ya sekondari sana notice za nn ? Subiri uende chuo ujue mwalim wako akupe maelekezo na mtaala
 
Chuo hakuana kukaririshana midude Bali practice ndo kitu muhimu kuliko minotice tena kwenye iyo course lazima uwe na self awareness ili uweze kumudu kufanya kazi sio kujikaririsha notice
 
Unaweza pewa notice ukasoma mwaka lakin ukaja swala la wewe kupractice ukachemka ndugu so stay calm ukifika chuo utajua pakuanzia na mtiririko fasha wa kusoma ili uweze kufanya kazi ya utabibu kwa ujuzi mkubwa na weledi ndugu
 
It is Diploma in Clinical medicine, aliyesoma hiyo diploma in clinical medicine ndiye anaitwa Clinica Officer, tafuta vitabu via Anatomy and physiology, Pathology, Parasitology and Entemology, Microbiology kwa mwaka wa kwanza, then mwaka wa pili nod unasoma Clinical subjects like Internal medicine, Obstetric and Gynacology, Pediatrics and Child health, Surgery, Communicable diseases pamoja na Epidemiology. Kumbuka Diploma hauingii deep sana, lakini silo vibaya ukaingia deep at ur own benefit make mgonjwa akija kwako hajui kama haukuiingia deep kwenye kusoma
 
kila kitabu utakachohitaji utakipata kindle au amazon
 
Hii course intakiwa kufutwa sasa muda wake umekwisha Tanzania ya karne ya 21 inatakiwa iachane na course zilizopitwa na wakati.Serekali iwekeze zaidi katika kutoa madaktari MMED ambao wataweza kushindana katika soko la ajira la EA.

Madhumuni ya kuanzisha hii course wakati wa Mwl Nyerere ilikuwa kukabiliana na upungufu wa wataamu uliokuwepo kipindi tunapata uhuru.Niwakati muafaka vyuo vya Muhimbili,Bugando,KCMC na .... vikaongeza idadi ya wanafunzi wanachukua masomo ya udakitari kwani uwezo sasa upo kinachokosekana ni nia ya dhati ya serekali ya kukabiliana na upungufu huo.
 
hao madaktari wametosha lini mkuu Tanzania, tena serikali iongeze juhudi katika hii kozi ili ufanisi uongezeke mara dufu
 
Back
Top Bottom