binyampo
Senior Member
- Dec 25, 2016
- 127
- 49
jamani bodi ya mikopo mmekuwa kikwazo kwa watoto maskini kutimiza ndoto za kupata elimu ya juu.
ni kwamba majina yaliyotangazwa kuwa wanafunzi wamepata mikopo ni uongo wa hali ya juu, sijui wanafanya hivi kumfurahisha nani!
HAIWEZEKANI MAJINA YATOLEWE KUWA MWANAFUNZI KAPATA MKOPO WAKATI KWENYE ALLOCATION HAMNA KITU.
ukienda kuulizia wanakwambia wamegundua huna vigezo!!!!
MSAADA WADAU NINI CHA KUFANYA???
maana hapa kuna dogo kachanganyikiwa ameenda chuo kakuta jina hamna, kwenda ofsini kwao ndo kapewa majibu ayo