Dogo G
JF-Expert Member
- Jul 6, 2018
- 1,052
- 440
Habari wakuu,hivi wanafunzi wanaosomea diploma ya ualimu wa shule za msingi wanamaliza lini,maana nna mdogo wangu anasoma chuo cha ualimu kleruu anadai nacte wamewatangazia kumaliza mwezi wa nane wakati kuna mwingine kanambia wa kumi,inakaaje hii wajuzi?