UDSM

UDSM

Mr Chawa

Member
Joined
Oct 25, 2018
Posts
57
Reaction score
11
Tafadhali Naomba kujua upangaji mkopo chuon Tayar maana chuo knafunguliwa tar 3 November ,2018 sa mtu anajuaje Kuwa kapata aslmia ngap na alipe kias gan? Kwenye acc ya kila mmoja No changes Msaada plz
 
Subiri me mwenyewe nina tatizo kama lako, siyo lazima kwenda siku ya kwanza.
 
Sa uspo enda utajuaje Kuwa hata hostel Umepata na wap
Yaenda ikawa Wakadisplay loan benefisheries names.. Sa may be atakaye enda hyo kesho kutwa atujuze maana hata group la first year udsm sijaliona
 
First year mna vituko sana nyie.

Unapata wasiwasi yanini?
Nenda chuo uhudhurie Orientation course mpaka inaisha utakua ushajua kila kitu, kuhusu ada, kiasi gani umepata, kuhusu chumba/block gani umepangiwa, time table ya masomo, venues za kusomea na mazingira yote ya chuo utakua ushayajua.

Sasa nyie mko humu full pressure utadhani mmechaguliwa ughaibuni kwamba hamna nauli ya kwenda
 
Mimi natoka kijin na mjin Sina mjomba wala ndg sa nkfka then mambo hayaeleweki ntaishje kila sku guest Mzee at most kwa sku 3 mtu anaweza ila a week to a week's my friend tena Naskia mujin kila kitu pesa we...
 
First year nenda chuo hayo mambo utayajua kwenye orientation coz.

NB: usiache kwenda na fedha ya matumizi kwa mfuko.
 
First year mna vituko sana nyie.

Unapata wasiwasi yanini?
Nenda chuo uhudhurie Orientation course mpaka inaisha utakua ushajua kila kitu, kuhusu ada, kiasi gani umepata, kuhusu chumba/block gani umepangiwa, time table ya masomo, venues za kusomea na mazingira yote ya chuo utakua ushayajua.

Sasa nyie mko humu full pressure utadhani mmechaguliwa ughaibuni kwamba hamna nauli ya kwenda

Mkuu si makosa yao tatizo ni mfumo wa kielimu haujawaandaa kufikiri nje ya box [emoji23][emoji23] alafu ukute katoka jkt mujibu
 
Kwenye pessa ya matumiz nmekuelewa
Ila wanatuathir kisaikolojia bas tu nw Ndio Naona others university their seriously on they are issues. Udsm a lot of stories
 
Mimi natoka kijin na mjin Sina mjomba wala ndg sa nkfka then mambo hayaeleweki ntaishje kila sku guest Mzee at most kwa sku 3 mtu anaweza ila a week to a week's my friend tena Naskia mujin kila kitu pesa we...
Chuo kikuu ni taasis kubwa yenye mipangilio yake, wanajua kabisa kwamba kuna watu hawana ndugu Dsm na hawajawahi kufika Dar.
We nenda mpaka chuo, ripoti kwa uongozi waeleze A to Z, utapewa chumba hata kama hujalipia kikubwa ukishapata admission letter na uwe na kitambulisho chochote kiwe cha NIDA au mpiga kura, na vyeti vyako vya shule.

Kingine uwe na hela ya balance ya kula siku zote za Orientation. (1 week). Baada ya hapo boom litatoka mkishasaini fomu za malipo kutoka heslb.

Mambo yote yako arranged wala usiwe na wasiwasi.

Ushauri mwingine, nguo beba kidogo tu zingine utanunua mkishaanza kupata hela, hii itakusaidia kua na mzigo mdogo wakati unashughulikia room mwanzoni.
Pia usimuamini kila mtu unayemuona, wengi watakulaghai kwa kuomba kuishi nawewe kwenye chumba ulichopangiwa, angalia usije kuchukua lijamaa lilevi ukashindwa kuishi kwa raha.

Mengine nitafute PM utakapoona umekwama kimawazo.
 
Kuna mtu alisema eti hakuna aliyepangwa kwenye majina ya mkopo first eti kisa mizozo na TCU wakati jina langu nimwliona nikaona ukisiliza watu kwa kila kitu utaumia sana
NB:nishaweka kambi naenda chuo jumatatu.
 
OK hapo sawa ila ufafanuz plz chuo n juma mos kwa wote au baadhi ya course
 
OK hapo nmekuelewa Mkuu ngoja sasa nikate ticket sa wadau Nimeona utofaut Wa hostel's fee sjui kwann na wap Huwa Ndio kuzur
 
OK hapo nmekuelewa Mkuu ngoja sasa nikate ticket sa wadau Nimeona utofaut Wa hostel's fee sjui kwann na wap Huwa Ndio kuzur
We una wenge sana sijui nini kinakuchanganya.

Mabibo na Campus lazima fee ya chumba iwe tofauti kwa sababu mtu wa mabibo atapanda daladala kwenda na kurudi, wa Campus anakaa palepale inamaana hela ata-save hakuna nauli wala usumbufu.
Kingine wewe utakaa ulipopangiwa, kama ni Campus au ni mabibo, kama utaona hapakyfai hapo ndio kucheza dili na mtu mwingine anayetaka kukaa pale usipotaka wewe
 
We eleza utofauti c kasema wenge Kama ww wajua bas n busara kutujuza na sisi ili tujue utofaut.. Mm dar Sjawah kufka sasa c inabd Niwe na pre information
 
Hiyo mikopo yenu mujitahidi muitunze kwa kujinyima ili mudundulize mupate mtaji wa kuanzia kitu baada ya kumaliza chuo, mtaani hali inatisha sana kama unawaza ajira, brother nimeongea sasa nyie itimbueni alafu baada ya chuo muanze kujaza thread humu mukitafuta kazi ata za kujitolea.
 
We eleza utofauti c kasema wenge Kama ww wajua bas n busara kutujuza na sisi ili tujue utofaut.. Mm dar Sjawah kufka sasa c inabd Niwe na pre information
Pia ukija njoo na akili zako pia, akili utakazozikuta huku achana nazo.
 
Maisha hafundishwi mtu....
Maisha hayana kuwahi wala kuchelewa ..
Hela umepewa ya kula na malaz ww wataka ujenge au uolee.. Ufanyie biashara... Mmmmh...
Acha watu watumie pessa mama ntilie na wauza bar wasomeshe watt wao
 
Back
Top Bottom