Nacte results for health programs-NTA level 5

Nacte results for health programs-NTA level 5

MNEKI

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2014
Posts
992
Reaction score
1,311
Mtu ukiandikiwa repeat module
Na mwingine Abscond maana yake nini?
 
Bt hii nacte sijaielewa coz kunachuo cha masasi huko mtwara cha Clinical officer wamepiwa matokeo ila njinsi ya livo sijaelewa kabsa .
 
Bt hii nacte sijaielewa coz kunachuo cha masasi huko mtwara cha Clinical officer wamepiwa matokeo ila njinsi ya livo sijaelewa kabsa .
Hata Mimi sijaelewa mkuu.....nini maana ya Abscond
 
Hata Mimi sijaelewa mkuu.....nini maana ya Abscond
Ngoja tusubir wajuzi wa mambo labda wata tutapa ufafanuz maana wanafunz wanauliza wanaambia matokeo ya sha sainiwa na wazir ko mpokeeni kama ya livo
 
Mtu ukiandikiwa repeat module
Na mwingine Abscond maana yake nini?
Mtu ukiandikia repeat module maana yake utakuja kusoma hayo masomo upya bt itakubid urud nyumban mpaka mwez wa nne ndo uje kurudia hiyo semester kwahayo masomo bt sema iyo repeat module kwenye kalikulam inasema endapo mwanafunz akishindwa kufaa mtian wa sapu ndo ataandikia repeat sasa wizara wanavokoja kuitumia Kwa wanafunz ambao ni first sit sijaelewa haya mm wanamalengo gan
 
VP na hiyo Abscond maana yake nini
 
kwenye ishu za matokeo, abscond maana yake matokeo yamezuiwa/yamefichwa.

mara nyingi hutokea pale mtu anakuwa hakukamilisha malipo mfano ada ila akafanya mtihani, sasa matokeo yakitoka, yanafichwa mpaka mtu akamilishe deni lake.
Kuabscond ni kucheat au misconduct
 
Kwaio unapata chance ya kufanya mtihani tena au ndo unakuwa umedisco????
Angalia vizuri mbele ya absconded wameandika Repeat module,, supplement au discontinued .....neno Absconded ni result status kama ilivyo first sit ,, second sit etc
 
Back
Top Bottom