Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

SHUGHULI MUHIMU ZA ELIMU. Na Mwl.Victor Mlaki. Katika jamii changamani pamoja n maendeleo ya viwanda elimu ina umuhimu mkubwa sana, Wanafalsafa wa vipindi vyote vilivyotangulia walionesha namna...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari nduguzangu, Mimi ni muhitimu wa diploma, nahitaji kuendelea na masomo ya degree, ila nina changamoto moja, ni kwamba kwenye account yangu ya kuomba AVN number nimesahau password na...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
JAMAN BROTHERS NAENDA F5 COMB YA PMC(PHY,MATHEMATICS,COMPUTER) NATAMAN KUPATA DIVISION 1.3 NAOMBENI USHAURI WENU NA TECHNIQUE ZA KUSOMA
8 Reactions
65 Replies
2K Views
Hello waungwana! Imekuwa ikisemekana kuwa hesabu na masomo ya Sayansi ni ngumu sana na ugonjwa wa taifa! Lakini kwa uzoefu wangu,nimegundua shida kubwa ipo katika mtazamo tunao jengewa na...
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Natumai wote ni wazima, Nia yangu kubwa ni kufahamu je kuna kozi za ubaharia za mda mfupi? Je gharama zake zikoje? Ninandoto ya kuwa baharia lakini mazingira yangu yananibana ndyomaana...
1 Reactions
11 Replies
5K Views
Wanafanya DATA ANALYSIS kwa kutumia tools zifuatazo: SPSS, R, Python, STATA, SmartPLS, MATLAB, SAS, NVivo, MAXQDA, 📞 Unaweza kuwasiliana nao kupitia njia zifuatazo: Simu/WhatsApp...
3 Reactions
14 Replies
694 Views
Kwa sisi tuliokua vipanga wa physics naomba tuujaribu huu mziki Kwa fact even u can mention laws kudefend jibu lako Je kati ya haya matenki....ni lipi lime apply brakes....and why? cocastic na...
4 Reactions
49 Replies
2K Views
Milikuwa na appointment na mtu hapo shule. Nikapewa kitu na nikiwa nasubiri akatokea mwalimu wa ratiba. Mwalimu wa ratiba aliongozana na rundo la walimu wengine wakike. Walikuandama yule mbaba wa...
0 Reactions
10 Replies
626 Views
Mwaka huo kutakuwa na wanafunzi wanaoingia form one mara mbili ya idadi ya kawaida. Watatoshaje?
0 Reactions
5 Replies
470 Views
Habari za jioni wadau, naomba kujua jinsi ya kupata Award Verification Number (AVN) Je ni lazima kuwa na hiyo namba ili uapply degree.
1 Reactions
18 Replies
25K Views
Kuna tatizo sugu kwenye vyuo vya kati hususani chuo nilichosoma mimi cha Institute of Adult Education (IAE). Tangu june 2024 mwaka jana tumehitimu hadi leo hatuna AVN tukifuatilia tunaambiwa jibu...
3 Reactions
2 Replies
312 Views
Post deleted
0 Reactions
10 Replies
11K Views
Matokeo ya kidato cha 6 yametangazwa. Ufaulu umeongezeka mara dufu zaidi ya wanafunzi 90% wamefaulu. Shule zilizoongoza ni 1. Marian Girls 2. Mzumbe Soma Pia Matokeo mengine kuanzia 2009...
8 Reactions
64 Replies
29K Views
Kwa mujibu wa tbc mchana huu matokeo kidato cha sita yametoka na ufaulu umeongezeka. Soma Pia matokeo mengine kuanzia 2009 Matokeo ya mtihani wa kidato cha sita (acsee) 2011 yametoka Matokeo...
2 Reactions
87 Replies
52K Views
Haya jamani wale mliomaliza form six wenzangu!,mliokuwa mnadai matokeo hayoo,wiki ijayo ndo wiki ya matokeo.tetesi za tangu 23 april kuwa masomo fulani yamefanya vibaya utajulikana wiki ijayo.
3 Reactions
62 Replies
15K Views
Wakuu, Je, UDSM wana Online masters degree program kwa course ya MBA? Kama hawana, what is the option kwa mtu anayeishi kanda ya ziwa kusoma hii course (MBA -Finance) NAkaribisha ushauri...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Je, Mfumo wa Mikopo ya HESLB kwa Postgraduate ni wa Haki? Mwandishi: Mr. Makizube Hakunaki Ndugu wanajukwaa, Baada ya kupitia kwa kina miongozo ya utoaji wa mikopo ya elimu ya juu kwa...
1 Reactions
3 Replies
960 Views
Habari jamani Naomba ushauri je kati ya kozi ya Business administration na clinical medicine ipi bora na ajira zake zinapatikana sana
0 Reactions
19 Replies
3K Views
TUJIKUMBUSHE; TUJADILI. Kuna miaka fulani walimu wa kike walivuma na kumwagiwa sifa nzuri katika uwanja wa ndoa. Watu wengi waliooa walimu, na walioshuhudia ndoa za walimu walisema kuwa mwanaume...
1 Reactions
4 Replies
360 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…