Mambo ya kubishana chuo gani kimeiva, chuo gani kinatoa wanafunzi cream, n.k. huwa yanaishia vyuoni.
Baada ya kumaliza chuo kama huna connection, je chuo ulichosoma kinakuboost upewe kipaumbele...
Serikali yetu inahimiza suala la haki, inapinga unyonyaji. Lakini hii imekuwa tofauti katika baadhi ya wahadhiri wa baadhi ya kozi za kiswahili mwaka wa tatu (CoED & Co. Of social sciences)katika...
Wastewater treatment combines physical, chemical, and biological processes to eliminate pollutants, pathogens, and harmful substances to produce safe water for discharge into the environment or...
Habari zenu wadau wa JF.
Imeonekana kwa muda mrefu sasa kuwa mambo mengi yenye matokeo hasi ambayo hayawezekani sehemu nyingi duniani, yanawezekana sana kufanyika nchini Tanzania.
Jamii ya...
Lini Dr. Magufuli rais wetu mpendwa utaitembelea chuo cha ufundi Arusha? Kuna ufisadi wa kutisha.
Mkuu wa chuo ana PhD feki, amenunua vyombo vya serikali ikiwamo Takukuru.
Jengo la km Tshs. 3...
Habari zenu Wana JF.
Nimeapply Kwa Ajili ya Field Tangia mwezi wa 4 ila bahati mbaya mpaka sasa sijapata field.
Mwenye msaada anisaidie tafadhari Tunaanza field tarehe 21/7 na kumaliza tarehe...
Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Elimu Tanzania (TET), Dkt. Aneth Anselmo Komba, amesema kuwa taasisi hiyo imefanikiwa kuweka mazingira jumuishi ya kujifunza kwa wanafunzi wenye mahitaji maalum kwa...
Baada ya kuhitimu kidato cha nne ile miaka ya 2000s, nikitokea shule ya bweni, nilimtembea rafiki yangu ambaye tulipohitimu shule ya msingi, yeye alichaguliwa sekondari ya kutwa na mie walau...
Nimejaribu kuchunguza matokeo ya wadogo zangu wanaotoka form 4 kwenda kusoma advance PCB nimebaki nalia na kujiuliza hawa madogo walifaulu vipi form 4.
Kuna mmoja ni best yangu sana tu form 4...
Nambo mwenye kujua atusaidia ili tujue wenzetu wanafanyaje maana sisi kila awamu na yake.
Sitashangaa Raisi ajae akaja na minimum qualifications kuwa ni point 5 au hata akaturudisha kwenye point...
Salaam kwenu,
Nina mdogo wangu kahitimu chuo .Ana Degree ya ualimu lakini anataka akasomee ktu kingine ambacho kitampa chance nzuri ya kujiajiri au kuajiriwa. alitaka akasomee kmojawapo kati ya...
Samahani kwa usumbufu kwa mwenye uelewa na hili mimi jina langu la kwenye vyeti na NIDA linatofautiana kidogo kwenye vyeti linasomeka ALY ABDALLAH KIDABI na kwenye nida inasomeka ALY ABDALAH...
Habari zenu humu,
Tafadhali nauliza je ni chuo gani hapa tanzania kinafundisha kozi ya kutengeneza vyerehani? yaani SEWING MACHINES MECHANICS.
Kama unajua jina la chuo, mkoa kilipo, ada, na muda...
Habari wakuu, naomba msaada
Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza katika kozi ya diploma in Clinical Dentistry nikiendelea na masomo yangu katika Kigamboni City College of Health and Allied...
Kijana wangu amechaguliwa kujiunga na kidatu cha tano tahasusi ya HGL
Nimepewa orodha ya vitabu.
Je vitabu gani yaniapasa kuvinunua kutoka katika orodha ambavyo atasoma navyo kidatu cha tano?
Kwakwel mm nikisikia mtu alianza kusoma kozi Fulani certificate akaenda diploma halaf degree na kuendelea uko mbele napendekeza wawe mafundi au wapewe kazi za matendo zaidi ndo watazimudu kwa...
Muonekano na tabia ya mtu daima hupambwa na mavazi. mavazi hubeba dhima kuu za tabia ya mwanadamu kisaikolojia .
Na ndio, maana hata tapeli, nyakati nyingine, akitaka kumkwida mtu huangazia...
Wakuu salama?
Katika kuhangaika hapa na pale nimekutana na kikwazo cha kuwa na matokeo ya IELTS au TOEFL.
Sijawahi kuona pepa za mitihani ya aina hiyo hata siku moja, nimeangalia yutyubu lakini...