Msaada: Naomba mitihani iliyopita, ushauri na uzoefu kuhusu IELTS, TOEFL

I

Ivindo

Senior Member
Joined
Feb 11, 2016
Messages
168
Likes
168
Points
60
I

Ivindo

Senior Member
Joined Feb 11, 2016
168 168 60
Wakuu salama?

Katika kuhangaika hapa na pale nimekutana na kikwazo cha kuwa na matokeo ya IELTS au TOEFL.

Sijawahi kuona pepa za mitihani ya aina hiyo hata siku moja, nimeangalia yutyubu lakini sijafanikiwa kwa sana. Ikiwa kuna mtu yeyote ambae ameshafanya kati ya hizo pepa anisaidie hata ushauri tuu utakua umenisaidia sana.

Je ni maswali gani yanayoulizwa? kwa kingereza chetu cha Bongo naweza kupata overall ya 6.5 kweli? kwenye oral inakuaje? na listening je? natakiwa kuwa nasikiliza BBC au cnn some days before sijaattend mtihani?

Asante sana kwa kusoma naomba nisaidie mtanzania mwenzako, asante

IVINDO
 
Myahudi Jr II

Myahudi Jr II

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2016
Messages
3,451
Likes
2,791
Points
280
Myahudi Jr II

Myahudi Jr II

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2016
3,451 2,791 280
Jipange sana ila usiogope ndio chanzo cha kufeli, ingia youtube kuna kila kitu au nenda gugo andika aehelp naogopa kuweka link nitapigwa ban
 
I

Ivindo

Senior Member
Joined
Feb 11, 2016
Messages
168
Likes
168
Points
60
I

Ivindo

Senior Member
Joined Feb 11, 2016
168 168 60
Wakuu trh 24/3 nafanya huu mtihani, nani mwingine anafanya?
 
Myahudi Jr II

Myahudi Jr II

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2016
Messages
3,451
Likes
2,791
Points
280
Myahudi Jr II

Myahudi Jr II

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2016
3,451 2,791 280
Wakuu trh 24/3 nafanya huu mtihani, nani mwingine anafanya?
Komaa sana na reading

speaking utafaulu
writing pia
listening ongeza concentration hasa(fanya mazoezi ya concentration/usikivu) kwa wingi
 
Myahudi Jr II

Myahudi Jr II

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2016
Messages
3,451
Likes
2,791
Points
280
Myahudi Jr II

Myahudi Jr II

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2016
3,451 2,791 280
Tsh 555,000/= nisipopata 7 overall nmeshaliwa hela yangu kama Biko
Unataka kwenda UK nini mkuu? ndio score bands zao hizo with not less than 6.5 in each part
 
I

Ivindo

Senior Member
Joined
Feb 11, 2016
Messages
168
Likes
168
Points
60
I

Ivindo

Senior Member
Joined Feb 11, 2016
168 168 60
Unataka kwenda UK nini mkuu? ndio score bands zao hizo with not less than 6.5 in each part
Hapana nataka kwenda Australia mkuu, ni ndoto yangu, ila wanataka 7 min na nikipata 8/9 napata double points. Siendo kusoma, kusoma ‘nilishamaliza’
 
I

Ivindo

Senior Member
Joined
Feb 11, 2016
Messages
168
Likes
168
Points
60
I

Ivindo

Senior Member
Joined Feb 11, 2016
168 168 60
Hivi kwa nn wabongo hua vitu kama hivi tunaona sio vya muhimu? Niko kwenye group moja ya IELTS TRICKS & tips yani waasia ndio wengi, waafrika tuko wa3 au 4
 
edwayne

edwayne

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2013
Messages
4,358
Likes
3,840
Points
280
edwayne

edwayne

JF-Expert Member
Joined Apr 5, 2013
4,358 3,840 280
Give me your emails nikupe pepas za ilets
 
Myahudi Jr II

Myahudi Jr II

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2016
Messages
3,451
Likes
2,791
Points
280
Myahudi Jr II

Myahudi Jr II

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2016
3,451 2,791 280
Hapana nataka kwenda Australia mkuu, ni ndoto yangu, ila wanataka 7 min na nikipata 8/9 napata double points. Siendo kusoma, kusoma ‘nilishamaliza’
Ungesema mapema usinge hangaika kupiga IELTS kama ulikua huendi kusoma, ungeenda pale British Councl ukapiga kozi za kizungu (internationally) then wanakupa cheti kinachotambulika kimataifa
 
Myahudi Jr II

Myahudi Jr II

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2016
Messages
3,451
Likes
2,791
Points
280
Myahudi Jr II

Myahudi Jr II

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2016
3,451 2,791 280
Hivi kwa nn wabongo hua vitu kama hivi tunaona sio vya muhimu? Niko kwenye group moja ya IELTS TRICKS & tips yani waasia ndio wengi, waafrika tuko wa3 au 4
Wengi wanafanya sema kimya kimya sema wengi wamekua na kizungu ko hawahitaji msaada, ile pepa wanapima lugha sio akili
 
I

Ivindo

Senior Member
Joined
Feb 11, 2016
Messages
168
Likes
168
Points
60
I

Ivindo

Senior Member
Joined Feb 11, 2016
168 168 60
Ungesema mapema usinge hangaika kupiga IELTS kama ulikua huendi kusoma, ungeenda pale British Councl ukapiga kozi za kizungu (internationally) then wanakupa cheti kinachotambulika kimataifa
Kinaitwaje hicho cheti mkuu? Maana kwenye visa nnayoomba wameweka orodha ya vyeti na marks zake.
 
edwayne

edwayne

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2013
Messages
4,358
Likes
3,840
Points
280
edwayne

edwayne

JF-Expert Member
Joined Apr 5, 2013
4,358 3,840 280
Wakuu salama?
Katika kuhangaika hapa na pale nimekutana na kikwazo cha kua na matokeo ya IELTS au TOEFL. Sijawahi kuona pepa za mitihani ya aina hiyo hata siku moja, nimeangalia yutyubu lakini sijafanikiwa kwa sana. Ikiwa kuna mtu yeyote ambae ameshafanya kati ya hizo pepa anisaidie hata ushauri tuu utakua umenisaidia sana. Je ni maswali gani yanayoulizwa? kwa kingereza chetu cha Bongo naweza kupata overall ya 6.5 kweli? kwenye oral inakuaje? na listening je? natakiwa kuwa nasikiliza BBC au cnn some days before sijaattend mtihani?

Asante sana kwa kusoma naomba nisaidie mtanzania mwenzako, asante

IVINDO
I got 7 overall bands vitu viwili vitakusaidia kutusua ni reading and listening parts hizo niligonga 8 and 7.5 other nilipata 6.5 . Reading you should be very fast n develop the techniques za kusoma na kujibu i don't know how u will manage that but those sections unatakiwa utusue n English is simple Sana.
 
Myahudi Jr II

Myahudi Jr II

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2016
Messages
3,451
Likes
2,791
Points
280
Myahudi Jr II

Myahudi Jr II

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2016
3,451 2,791 280
I got 7 overall bands vitu viwili vitakusaidia kutusua ni reading and listening parts hizo niligonga 8 and 7.5 other nilipata 6.5 . Reading you should be very fast n develop the techniques za kusoma na kujibu i don't know how u will manage that but those sections unatakiwa utusue n English is simple Sana.
mkuu inabidi nikufate unisaidie, uko njema asee
 
edwayne

edwayne

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2013
Messages
4,358
Likes
3,840
Points
280
edwayne

edwayne

JF-Expert Member
Joined Apr 5, 2013
4,358 3,840 280
Hapana nataka kwenda Australia mkuu, ni ndoto yangu, ila wanataka 7 min na nikipata 8/9 napata double points. Siendo kusoma, kusoma ‘nilishamaliza’
Try Germany mkuu
 
Forum statistics

Threads 1,249,915
Members 481,156
Posts 29,714,745