Majipu Arusha Technical College

saigilomagema

JF-Expert Member
Jun 5, 2015
4,522
7,030
Lini Dr. Magufuli rais wetu mpendwa utaitembelea chuo cha ufundi Arusha? Kuna ufisadi wa kutisha.

Mkuu wa chuo ana PhD feki, amenunua vyombo vya serikali ikiwamo Takukuru.

Jengo la km Tshs. 3 Billion lajengwa kwa Tshs. 7 Billion. Mkuu wake Dr.(feki) Richard J. Masika adai hakuna wa kumgusa serikalini. Ameinunua bodi yote.

Amefukuza viongozi wa academic staff association na wa THTU. Serikali ituambie atawatesa hawa wasomi na kuiibia serikali mpaka lini?
 
Arusha Rechnical College??? Ndo nini??, Watu WA majungu na visokorokwinyo kama wewe mnafaa kuchomwa Moto na majivu yako yatupwe katka vilindi vya bahari.
 
Arusha Technical College, very minor error, however,msg sent. Subiri utumbuliwe chungu ila uvumilie
 
Hii kama imekaa kinazi zaidi, kama nyie walalamikaji mlimtafuta mhariri mkampatia hiyo habari, kisha mnasema akahomgwa na mkuu was chuo, haomini kama nyie mtakuwa mlimhonga kabla?
 
Duuu.
Kumbe songombingo bado ipo?
Ebu toa uthibitisho wa ufisadi wa huyo mwenye PhD feki! Yaani wewe umetumia kigezo gani kutambua ufeki wa PhD?
Na pia thamani ya jengo umeijuaje? Upo manunuzi au ni mjumbe wa bodi?
Kwa nini ushitakie mtandaoni? Au ndio ni mmoja ya unaodai wamefukuzwa?
Anyways,Kila la kheri kama una nia njema.
 
Majungu mengi mpaka unashindwa kuandika vizuri msomi mzima !
ATC mshukuruni sana Dr masika kuletwa pale , chuo nilikuwa kinakufa kile.
 
Duuu.
Kumbe songombingo bado ipo?
Ebu toa uthibitisho wa ufisadi wa huyo mwenye PhD feki! Yaani wewe umetumia kigezo gani kutambua ufeki wa PhD?
Na pia thamani ya jengo umeijuaje? Upo manunuzi au ni mjumbe wa bodi?
Kwa nini ushitakie mtandaoni? Au ndio ni mmoja ya unaodai wamefukuzwa?
Anyways,Kila la kheri kama una nia njema.
Mzee hili ni baraza la watu wote kama 'mmewaminya' watu subiri kikaango!
 
Alete data ili tujadili.
Vinginevyo hii hoja haina mashiko,ni majungu tu.
 
Mkuu kama Una vielelezo hebu viweke hapa. Pia upige picha hilo jengo na watu walipime kwa bei inayopaswa. Ikiwezekana pia uweke na majina ya academic staff waliofukuzwa. Utakuwa umerahisisha zaidi.

NB: Rekebisha kichwa cha uzi wako. Ni ARUSHA TECHNICAL COLLEGE
 
Majungu at work, mi nimesoma arusha tech na najua mabadiliko aliyo yafanya Dr eng.Richard masika, since amekua principal arusha tech, au alieandika hii thread akaulize Dit aliko toka, he's a very smart engineer, tulio fanya nae kazi tunamfahamu. Chuo now kinamaendeleo sio kama zaman, walaji wametaitiwa wanatafuta mlango wa kutokea
 
Hii PhD feki, nenda TCU uhakiki Jina lake kama yupo registered kama daktari. Maana details hizo waweza kuwa nazo. Pia, nadhani kwa vile umeonesha njia kuwa jamaa ni fisadi, nenda ripoti takukuru makao makuu utoe ushirikiano wako maana inaonekana ufisadi huu unaujua vizuri. Wasikubeze, yawezekana kuna ukweli umejificha nyuma ya pazia
 
acheni upotoshaji Masika yeye ni zao la mabadiliko ATC, aliikuta ATC imeshabadilishwa hakuna jipya alilolifanya pale zaidi ya kuanza kutafuna alivyovikuta. Chuo sahivi kipo taabani wafanyakazi hata hawakumbuki tena mara ya mwisho walienda lini likizo zao. wengi mliochangia ni timu yake, angalia mnavyoshambulia kwa jazba mpaka mapovu yanawatoka
 
angalia hili mashimonoel linavyojichanganya, mara alikuwa mwanafunzi ATC, mara alifanya naye kazi DIT, total confusion and panic. DIT kwa taarifa alivyoondoka waliweka sherehe. Dr. gani hawezi kufundisha hata first year? mtapanic sana maana msg is already sent and for sure received
 
As far as i know Eng. Dkt. Masika degree yake ya uzamivu sio fake.

Suala la kukiharibu chuo kwa kufukuza fukuza academic staff ni la kweli. Pia tuhuma za kutumia gharama kubwa katika miradi ya ujenzi wa majengo siwezi kulikataa.

Kwa taarifa tu ni kwamba alipokuwa Mkurugenzi wa Mafunzo DIT aliwahi kufanya lobbying kwenye bodi ya chuo (DIT)ili kupata promosheni ya kuwa Associate Professor lakini akawekewa ngumu kwakuwa hakuwa na vigezo. Alikuwa hana darasa lolote analofundisha na hakuwa na chapisho ama utafiti wowote aliokuwa amefanya ili kupata sifa ya kuwa 'polopesa'.

Mwisho kabisa, alipoondoka DIT academic staff pamoja na non academic staff walifanya sherehe na hata mabadiliko chanya katika taaluma na staff affairs yakaanza kupatikana.

NB:
Nitarudi siku nyingine mkinihitaji kwakuwa nina mengi lakini kwa sasa itoshe.
 
Well said. Kwa hilo la lobbying usitarakie mabadiliko chanya kwa mtu kama huyo.
 
tumeshawaambia kuna tatizo pale Arusha Technical College, unakaribishwa kufanya utafiti. Matatizo ni makubwa kuliko hizi dodoso. tunamkaribisha waziri husika atajionea. waliofukuzwa ni waliokuwa viongozi wa academic staff association na wa THTU mtu anauli majina? hata hao huwezi kuwafahamu? acheni uvivu.
 
Back
Top Bottom