Mgm-
JF-Expert Member
- Aug 15, 2019
- 6,040
- 8,714
Salaam kwenu,
Nina mdogo wangu kahitimu chuo .Ana Degree ya ualimu lakini anataka akasomee ktu kingine ambacho kitampa chance nzuri ya kujiajiri au kuajiriwa. alitaka akasomee kmojawapo kati ya sheria au IT lakini nmemkatalia kusomea IT kwasababu huku mtaani wahtimu wapo wengi, wanadevelop project nzuri kabisa lakini hawana wa kumuuzia hizo project zao kwa sababu giant films zote znanunua toka nje.
Nimemshauri asomee sheria kwa sababu akimaliza chuo hata asipopata ajira anaweza kufungua ofisi yake ya mwanasheria na akapiga kazi.
Wanabodi, je nmemshaur kitu sahihi? Au kuna kozi zenye pesa nzuri zaid anaweza kusomea?
Halafu je, ni ipi model nzuri ya yeye kusoma? akasome post graduate au akaanze upya kama vile katoka form six?
(Advance kasoma PCB)