Habari wana jamii leo ningependa kushukuru sana maana kiukweli ni vingi nilikuwa sijui ila kupitia jukwaa hili nimejifunza mengi.
Sasa ndugu zangu leo napenda tushare maneno mazuri na kutia moyo...
Wasalaam! heshima kwenu,naomba msaada wa maelekezo niweze kufika katika Ofisi za ERB (Engineers Registration Board).Nikiwa Dar es Salaam natokea Ukonga-Banana ndiyo starting point yangu.Nashukuru...
Hello wadau,naomba yeyote mwenye details za Chuo cha ardhi Morogoro kwa ngazi ya Diploma anisaidie kunipatia ikiwa ni pamoja na kozi wanazofundisha na ikiwezekana garama yaani ada pamoja na...
Habarini Wana jamvi humu ndani.
Naomba kuuliza kwa wenye ufuhamu na uelewa zaidi wa hii gani ya Biomedical eng (vifaa tiba) hususani katika swala la àjira zake kwa sasa na badae,je serikali...
Kulikuwa na wimbi kubwa sana la vitabu na na notes mbalimbali vilivyokuwa vimechapishwa na na kutungwa na Nyambari Nyangwine, ilikuwa si rahisi kwa mwanafunzi unayejua kujitafutia material/notes...
Petroleum petroleum namba wanaisoma,
Watu wana masters zao namba wanaisoma
watu wana PHD zao namba wanaisoma
namba shufwa wanazisoma
namba witiri namba tasa,
Watu wana mauzoefu yao namba wanaisoma...
Program Benefits
All FLTA fellows receive a monthly stipend, health insurance and travel support. U.S. host institutions provide tuition awards to support the required coursework. The FLTA...
Hello wadau, kuwa mwanachama wa CPA inabidi ufikishe masaa 30 katika semina kila mwaka, haya masaa wanayaita CPD hours,
Sasa shughuli inapokuja ni kwenye gharama kubwa ili kuyapata haya masaa 30...
habari zenu ndugu zangu wana jamvi
naomba niulize maswali mawili na yeyote mwenye uelewa juu ya maswali hayo bas naomba anijuze
1. chuo cha NIT pale mabibo ni maarufu kwa course za...
Habari
Week hii niko off kidogo home kwa wanaopenda kusoma vitabu hususani vya Financial development, Personal development na investment naomba aliye na kitabu hardcopy kashakisoma aniazime...
Habarini nduguu zangu. Naombaa kuuliza eti unaweza kuapply chuo kikuu kwa mtu aliyetoka Form 4 na anapenda kusoma Diploma kwa course tofauti kama ya afya?
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wana JF (wasomi) nimeweka Uzi huu kwa nia ya kujifunza na kuelekezwa kuhusu ili.
Je kwa mtu aliye soma diploma ya business administration anaweza kuendelea mpaka digrii au haiwezekani...
Habarini za muda wakuu!
Tafadhali aliyesoma kozi ya Labour Relations & Public Relations kuanzia ngazi ya cheti.
Naomba anijulishe alisomea chuo gani, ukiachilia mbali ISW {Chuo cha Ustawi wa...
Habari zenu wakuu,
Naomba nisiwe na maneno mengi sana, mimi ni mwanafunzi hapa Chuo Kikuu Mzumbe mwaka wa pili. Hapa chuoni kuna usumbufu na kero kubwa zinazo endelea dhidi ya wanafunzi, uongozi...
Ili kupunguza Gap la uchumi yaani economic gap ni muhimu serikali iachane na ajira za walimu kwani kwa miaka mfululizo tangu 2006 wamekuwa wakiajiriwa wote. Ni muda wa serikali kuendeleza upande...