Habarini za muda wakuu! Tafadhali aliyesoma kozi ya Labour Relations & Public Relations kuanzia ngazi ya cheti. Naomba anijulishe alisomea chuo gani, ukiachilia mbali ISW {Chuo cha Ustawi wa Jamii, Kijitonyama}