Chuo cha Ardhi Morogoro. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chuo cha Ardhi Morogoro.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by HGYTXK, Nov 29, 2011.

 1. HGYTXK

  HGYTXK Senior Member

  #1
  Nov 29, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 195
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Hello wadau,naomba yeyote mwenye details za Chuo cha ardhi Morogoro kwa ngazi ya Diploma anisaidie kunipatia ikiwa ni pamoja na kozi wanazofundisha na ikiwezekana garama yaani ada pamoja na mawasilano yao.Ningeomba ushauri pia kwenu wanajamvi kwa performance ya three ya 17points PCM yaani P-E, C-F, & M-E with E ya GS nawezapata course gani ya Degree pale ARU?.

  Nawasilisha.
   
 2. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #2
  Nov 29, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Mbona hukuaply degree mwaka huu wewe,wenzio wana matokeo ka hayo hayo wamepata vyuo na mikopo juu?afu acha uongo,Gs hata upate mia utawekewa S tu,sa we hyo E ya Gs uliwekewa na nan?
   
 3. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #3
  Nov 29, 2011
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,927
  Likes Received: 2,080
  Trophy Points: 280
  Hivi siku hizi GS kuna E? Zamani ilikuwa ni S tu hata ukipata maswali yote!

  Nina mashaka kama kwa kupata E za maths na physics unaweza kuingia ARU....ngumu zaidi kama wewe ni wa kiume.
   
 4. HGYTXK

  HGYTXK Senior Member

  #4
  Nov 29, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 195
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Ni kweli mkuu na ninashukuru kwa kuliona hilo,ni S na sio E kama ilivyoandikwa.Nashukuru pia kwa ushauri wako na mm ni mwanaume pia ili kuweka msisitizo wa angalizo la jinsia uliloweka.Kwa mtazamo wako bilashaka ungenishauri nianze na diploma.Thanx.
   
 5. HGYTXK

  HGYTXK Senior Member

  #5
  Nov 29, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 195
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Thanx mdau,naomba radhi kwa hilo,ni S na sio E kama ilivyoandikwa.Typing error.Naheshimu mchango wako pia,nimeshindwa kuapply mwaka huu baada ya matatizo kidogo kunipata ambayo kwa hakika yaliniaribia muelekeo wangu kabisa.Nimemaliza 2005 na nikapata nafasi pale SUA Bsc Agriculture general course ambayo inahitaji msingi mkubwa wa biology na Agriculture na kwa kujiamini na PCM yangu nikaingia kichwakichwa jamaa wakanidisco mwaka wa kwanza tu kwa kukosa points 2 ktk wastani wa GPA wanazohitaji kwa mwaka,hivyo ilinibidi nitulize kichwa wakati najipanga zaidi na kwa kuwa ni mpiganaji stil najua ninawezafanya lolote ktk elimu,hiyo ndio sababu mkuu.
   
 6. f

  fisi 2 JF-Expert Member

  #6
  Nov 29, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 1,337
  Likes Received: 521
  Trophy Points: 280
  ARU ungeweza ingia kwa PCM kusoma ARCHITECTURE ila kwa pass zako hutapata nafasi. Labda jaribu DIT.
   
 7. H

  HAMY-D JF-Expert Member

  #7
  Nov 29, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 6,825
  Likes Received: 710
  Trophy Points: 280
  Kwa ARU degree SAHAU ila kuna vyuo vingi kwa matokeo yako ungeweza kupata mfano IFM,UDOM,TIA,IAA na vingine vingi,ila kama una sababu zako binafsi ya kusomea mambo ya ardhi,majengo au michoro ni sawa ukipiga hiyo diploma.
   
 8. HGYTXK

  HGYTXK Senior Member

  #8
  Nov 29, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 195
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Nashukuru wadau kwa ushauri wenu.
   
 9. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #9
  Nov 29, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  Nakushauri ujaribu DIT, huwa pale wanafanya pre-entry kwa miezi 3 then wanafanya mtihani.
   
 10. HGYTXK

  HGYTXK Senior Member

  #10
  Nov 29, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 195
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Asante MZEE,bilashaka itanilazimu nianze mchakato net year maana kwa mwaka huu tayari nimeshachelewa.Nitajitahidi kufuatilia kwa karibu DIT nicheki kozi zao.Pamoja mkubwa Mungu akubariki sana.
   
 11. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #11
  Nov 29, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  dah!!pole sana mkuu,bt uckatishwe tamaa na watu ndugu yangu,huko ardhi wanakosema huwez pata,me kuna watu wangu wa karibu wana matokeo ka hayo yako wanasoma hapo building economics,so jaribu nawe bahati yako kuliko kukimbilia diploma.
   
 12. HGYTXK

  HGYTXK Senior Member

  #12
  Nov 29, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 195
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Nashukuru sana SENETOR kwa ushauri wako,ninauchukua ushauri wako pia 100% na nitaufanyia kazi pale application zitakapofunguliwa next year.Mungu akubariki sana.
   
 13. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #13
  Nov 29, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  mungu awe nawe.

  Kuna mshikaji alimaliza form six 2009, hakufanya vizuri. Alipata four ya 18. Alikata tamaa kabisa, alijaribu kuomba ualimu dip akakosa, akaomba jeshi pia akakosa.

  Nilimshauri afatilie mchongo wa DIT, alifanikiwa. Mwaka huu yupo 2nd year. Nakusih usikate tamaa.

  Never stop chasing your dream. Pamoja sana ndg.

  Kama unahisi kuna msaada utauhitaji kutoka kwangu, plz usisite kuni-PM.
   
 14. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #14
  Nov 29, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  mkuu, pole sana. SUA waliamua kukutoa kwa knock out. Pole sana.
   
 15. serio

  serio JF-Expert Member

  #15
  Nov 29, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 5,925
  Likes Received: 1,135
  Trophy Points: 280
  hivi ARU iko morogoro?
   
 16. N

  Ngereja JF-Expert Member

  #16
  Nov 29, 2011
  Joined: Feb 27, 2007
  Messages: 796
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Kwa grade ulizopata, nakushauri utafute chuo chochote kinachotoa Diploma (Higher National Diploma) katika masomo ya uhandisi usome course ya miaka miwili au mitatu, baada ya hapo tumia Diploma hiyo kama entry qualifications (Equivalent qualifications) kuomba admission Chuo kikuu. Angalizo moja ni kwamba ujitahidi upate Credit au Distinction. Kwa Combination yako ya PCM, Jaribu Mbeya Institute of Technology (MIT), DIT, Arusha Tech. Vyuo hivyo wana course nzuri tu zinazohitaji masomo ya sayansi A level wala hutajuta.

  Hiyo ni njia ndefu ili ufanikiwe kupata degree, cha muhimu usijione kuwa umeshindwa.
   
 17. HGYTXK

  HGYTXK Senior Member

  #17
  Nov 29, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 195
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Hapana mkuu Morogoro kuna Chuo cha Ardhi kinachotoa dip na Cert na ni njia ya kuelekea ARU hivyo niliuliza kama njia mbadala ya kwenda ARU kama itashindikana kuingia moja kwa moja.Nashukuru pia kwa kujali kwako na Mungu akubariki sana.
   
 18. HGYTXK

  HGYTXK Senior Member

  #18
  Nov 29, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 195
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Nashukuru Bwana Ngeleja,nimeuchukua ushauri wako pia na Mungu akubariki sana.
   
 19. HGYTXK

  HGYTXK Senior Member

  #19
  Nov 29, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 195
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Asante sana MZEE,nimepitia website ya DIT hapa ili kucheki kozi zao,nitaendelea kufuatilia zaidi na kama ulivyosema bilashaka nitahitaji msaada wako na nitaku e-mail ili kukuomba mawasiliano pale itakapobidi.Pamoja mkuu na Mungu akuongoze ktk mambo yako.
   
 20. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #20
  Nov 29, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  shaka ondoa mkuu.
   
Loading...