Frank nzoka
Member
- Aug 11, 2011
- 30
- 8
Natafuta kitabu kizuri kwa sasa cha physics kwa O-level kwa syllabus yetu hapa nchini. msaada plz kwa wale mliopo kwenye secta hiyo.
Soma Abbot, Principle of Physics (Nelcon),Physics for Zanzibar,Worked Example for O lev.Natafuta kitabu kizuri kwa sasa cha physics kwa O-level kwa syllabus yetu hapa nchini. msaada plz kwa wale mliopo kwenye secta hiyo.
Wewe ulisoma vyote hivyo halafu ukafeliSoma Abbot, Principle of Physics (Nelcon),Physics for Zanzibar,Worked Example for O lev.
SawaWewe ulisoma vyote hivyo halafu ukafeli