Zilipo ofisi za Bodi ya usajili Wahandisi

Mkwala

JF-Expert Member
Sep 30, 2014
1,158
1,227
Wasalaam! heshima kwenu,naomba msaada wa maelekezo niweze kufika katika Ofisi za ERB (Engineers Registration Board).Nikiwa Dar es Salaam natokea Ukonga-Banana ndiyo starting point yangu.Nashukuru kwa ushirikiano
 
Nenda posta mpya, kisha tafuta mtaa wa pamba, ofisi zipo kati ya Samora na Sokoine, mtaa wa pamba.
 
Yes it's true!

Kama ni mpenda ramani acheki hii
ImageUploadedByJamiiForums1440207368.748820.jpg
 
Back
Top Bottom