Msaada: Naomba kujua format mpya ya mtihani wa kidato cha sita

section A kunakuwa maswali 4 ambayo Ni short answers na utajibu yote Kila swali marks 10' then section B Maswali 4 utajibu Maswali 3 marks 60 baada ya hapo kusanya paper
 
Back
Top Bottom