GUSSIE
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 3,873
- 11,123
Ili kupunguza Gap la uchumi yaani economic gap ni muhimu serikali iachane na ajira za walimu kwani kwa miaka mfululizo tangu 2006 wamekuwa wakiajiriwa wote. Ni muda wa serikali kuendeleza upande mwingine hasa kipindi hiki cha serikali ya viwanda.
Kada kama za Kilimo, engineering na vyuo vya kati Veta ni muda wa Serikali kuwatrain kwa vitendo ili waendeleze viwanda Idadi ya walimu inatosha wengi wamejazana mjini ni muda wa kuwapanga na kuwatawanya vizuri vijijini toka mijini, wawekewe walimu sheria kali ili kudhibiti uhamisho wa ovyo ovyo unaosababisha vijijini waonekane wanahitajika wakati sio kweli.