Habari za humu wakuu? naomba kujuzwa jamani kama hii shule ipo active na ikiwezekana nipate mawasiliano namba za simu au baruaapepe yao. Asanteni ππππ
Msaada anayefahamu shule za bei nafuu za secondary Tanzania ambazo ni za bweni na ni za private lakin pia ni mchanganyiko na ambazo ada yake ni kati ya 1m-2m
Msaada tafadhali
Hesabu za Simultaneous equation zinaweza kusoviwa kwa njia nne ambazo ni
1) Substitution method
2)Elimination method
3)Graphical method
4)Matrix method.
Hivyo thread zijazo tutatazama...
Nilikuwa naomba cheti kipya cha kuzaliwa ila nilivyofika kwenye kuweka attachment naambiwa vinatakiwa signed attachments sasa sielewi hizo signed zipoje kwasababu hizi za kawaida nilizonazo zinakataa
Nina kero moja, ngoja niiweke hadharani leo, ni kuhusu Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), kinafanya Watu wapate tabu saana kupata ajira kupitia Ajira Portal.
Mfano hizi kazi za Walimu wa Economist au...
Halmashauri ya Jiji la Mwanza imemzawadia Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Wavulana Nsumba, Denis Mwakisimba, gari aina ya Toyota IST kutokana na mchango wake mkubwa katika kuinua kiwango cha ufaulu...
Lindi kuchele. Mambo yameanza kuongezeka Kilimanjaro kaeni kwa kutulia tunakuja kwa Kasi ya mwanga.
Kozi zitakazotolewa,
Undergraduate
1. Bsc Aquatic Science,
2. BA African Medicine,
3. BA Islamic...
Katika jambo la kushangaza vijana wengi waliohitimu chuo Cha taifa Cha utalii wamekua na kilio kisichoisha kwani kila Ajira zinapotangazwa na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wao kupata kazi imekua...
NACTEVET ninaomba wajitathmini wanachotufanyia sio sawa.
Habari Naomba niwasilishe changamoto mbili zinazonikabiri mpaka muda huu na nimeshindwa kupata msaada wowote kutoka Kwa watu wa nactevet...
Wakuu habari. Nina binti yangu hapa yupo darasa la sita miaka 2 ijayo atakuwa anaingia ngazi elimu ya secondary.
Kwa sasa nimeanza kujiandaa kuhakikisha anazidi kuwa na uelewa mzuri wa darasani...
Wakuu habari.... Hope mko poa katika ujenzi wa Taifa
Kuna hii kozi ya diploma in pipe works oil and gas engineering ambayo ilianzishwa mwaka 2017 chuo Cha ufundi Arusha na mpk sasa inatolewa na...
Inaonekana kama server za HESLB zimekua compromised kwa sababu kila ukitaka ku log-in kwenye akaunti yako inakataa na nimejaribu kutumia browser tofauti tofauti lakini shida ipo pale pale.
Tena...
Serikali imetangaza kuongezeka kwa idadi ya wanafunzi watakaonufaika na mpango wa ufadhili wa masomo kupitia Samia Scholarship, ambapo jumla ya wanafunzi 1,051 wanatarajiwa kupata ufadhili kwa...
Nina mdogo wangu najaribu kumuombea chuo kwa ngazi ya diploma kwakuwa alichelewa kuomba kwa awamu ya kwanza. Yeye anataka kusoma kizi za Engineering au ICT. Changamoto nayo kutana nayo kwenye...