Nini kazi za waliosoma Bachelor of Environmental Science?

sonofdory

Member
Jul 4, 2016
78
38
Wakuu nahitaji msaada!
Eti Bachelor of environmental science ni course unayomuanda mtu kwa career kama zipi??

Msaada tafadhali.
 
Unaweza fanya kazi sector gani ukisoma environmental science
Pale SUA wanatoa Bsc of Environmental science and management, ndani yake zipo coarse zinazohusu
Environmental Impact Assessment ( tathmini ya mazingira)
Safety and health at work place
Mining basing in Environmental issues
Environmental law,
Meteorology ( Mambo ya Hali ya hewa)
N.k
Kwa ufupi utafanyakazi Nemc, OSHA, ofisi ya makamu wa Rais mazingira, viwandani km Afisa mazingira, makampuni hasa kuhusu ishu za mazingira,Sera na uhamasishaji, migodini, n.k
 
Thanks Mr. Nimeona from TCU guide book SUA wanaoffer hiyo kozi kwa miaka mitatu na Ardhi minne inakuaje
 
Ni kweli Kabisa,
Pale SUA wao wanatoa miaka mitatu na Ina deals Sana biological issues concerned in Environment,
Lakini kule Ardhi wao wanatoa miaka minne na wanadeals Sana na physical issues concerned in Environment,
SUA wao coarse zao nyingi zinajikita ktk biology mfano environmental biology, microbiology, Toxicology, Waste management n.k

Ardhi wao wapo physical Sana mfano waste management jinsi ya kutunza taka huko unasoma hesabu na physics yakutosha lkn SUA utasoma chemistry na biology sana
 
Hiyo ya Ardhi ni ENGINEERING (Environmental Engineering) na hakuna engineering inasomwa miaka 3 kwa mtu wa form6.

Ya SUA sio ENGINEERING ndio maana unaona inatolewa 3yrs.
 
Ni kweli Kabisa,
Pale SUA wao wanatoa miaka mitatu na Ina deals Sana biological issues concerned in Environment,
Lakini kule Ardhi wao wanatoa miaka minne na wanadeals Sana na physical issues concerned in Environment,
SUA wao coarse zao nyingi zinajikita ktk biology mfano environmental biology, microbiology, Toxicology, Waste management n.k

Ardhi wao wapo physical Sana mfano waste management jinsi ya kutunza taka huko unasoma hesabu na physics yakutosha lkn SUA utasoma chemistry na biology sana
Kijana ya sua pia ina hesabu na engineering kama masomo kwa kiwango kikubwa kwa miaka yote mitatu then chemistry na bios za kutosha mzee tembelea prospectus ujionee 😂😂😂 Kama hupendi hesabu na physics environmental science and management ya sua usihangaike
 
Back
Top Bottom