Jumuiya ya wanafunzi wa vyuo vikuu na vya kati hapa Tanzania (TAHLSO) ilianzishwa ili iweze kutetea maslahi ya wanafunzi wa vyuo.
Bahati mbaya kwa sasa TAHLSO siyo chombo tena cha kushughulika na...
Habari wakuu nilikua naomba kujua ajira ya kozi zinazotolewa na chuo cha bandari kwenye soko ni marketable kwa sasa? Na ajira zake ni rahisi kupatikana au nako kumejaa tuu kama fani zingine
Wadau poleni na safari ya URUSI baada ya kurudi salama naomba mnishauri katika hili.Binti yangu amemaliza kidato cha sita mwaka jana matokeo yake kapata div 2,pts 12.Alikuwa anasoma combination ya...
KUFUNGULIWA KWA DIRISHA LA UDAHILI KWA WAOMBAJI WA SHAHADA YA KWANZA ΚΑΤΙΚΑ TAASISI ZA ELIMU YA JUU NCHINI TANZANIA KWA MWAKA WA MASOMO 2025/2026
Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) inapenda...
Habari wanaJF, Natanguliza shukrani.
Kuna mdogo wangu kwenye haya matokeo ya mwaka huu mwezi wa pili ya kidato cha nne alipata ufaulu wa DIV 2 YA 18(CIVICS: C, HISTORY: B, GEOGRAPHY: C...
Wakuu wajuzi wa mambo msaada naombeni mnipe mawazo kidogo hivi kati ya degree ya nursing anaesthetic,general nursing, clinical nutrition na physiotherapy ipi iko marketable wakuu?
Wanafunzi JIHESHIMUNI sana serikali haipotezi kumbukumbu kamwe daima dumu mkifanya Boko kwenye shule yenu au mwaka wenu basi kizazi chenu kinawekwa kwenye kumbukumbu za kutoajirika au kuajirika...
Nimekuwa nikituma email na ujumbe whatsap kwakuwa nilikuwa na shida kwenye makato yangu ya deni la bodi ya mikopo ila sio whatsap wala email inayojibiwa huenda pana changamoto ya wafanyakazi au...
Tunataka kufahamu kwa nini UTUMISHI mwaka huu walificha tangazo la ufadhili wa masomo ngazi ya PhD (MOFCOM scholarship) kwa watumishi wote?
Ikiwa kama ni sehemu ya kusaidia maendeleo ya ukuaji wa...
Naomba ushauri mm ni mwalimu Wa shule ya msingi Nina diploma ya laboratory science and technology natarajia kujiunga open kusoma bachelor of science general open university alafu baadae nisome...
Karibu kwenye uzi huu maalum wa kufundisha lugha ya Kichina (Mandarin).
Kupitia uzi huu, CHUO CHA MAWAZO YA BIASHARA tutakuwa tukifundisha lugha ya Kichina hatua kwa hatua kuanzia mwanzo hadi...
Wataalamu wenzangu wa Flutter, hii hapa tena Mapishi App — jukwaa la kipekee kwa wapenda kupika
App hii inaruhusu wanawake (na wote wanaopenda kupika) kupost vyakula, kushare mbinu, na...
Ruhunga Secondary iliyoko katika Mkoa wa Kagera, Bukoba Vijijini, Tarafa Rubale, Kata ya Ruhunga, wana utaratibu kwa Wanafunzi wa madarasa yenye mitihani (Form 2 & 4) kuweka kambi Shuleni kwa...
Nikiwa kama jirani nayeishi karibu na Shule ya Sekondari Nyamanoro iliyo katika Halmashauri ya Manispaa ya ilemela mkoa wa Mwanza nimekuwa nikipatwa na wasiwasi juu ya hatari inayowakabili...
Kumekuwa na changamoto mashuleni inayohusu chakula wanachokula wanafunzi kuwa na dawa ya kuhifadhia nafaka.
Hii hutokana na utaratibu mbovu wa kuhifadhi mahindi unaofanywa na baadhi ya shule...
Wakuu habari! Naomba maelekezo, nahitaji kupata turnitin software ya plagiarism checking tafadhali. Naona nyingi zipo vyuoni. Ivi hakuna namna ya mtu binafsi kuwa nayo? Natanguliza shukrani.
Ddr ni kozi ambayo haifahamiki sana miongoni mwa watu.
Diploma in diagnostic radiography inatolewa na vyuo viwili tu Tanzania ambavyo ni muhas and cuhas. Ni kozi ambayo degree yake inatolewa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.