Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Wana JF; Nilikua naomba msaada maana nmejarbu kuapply kwnye UDSM ADMISSION lakn inaload af inafail msaada wakuu
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Thread
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kwa wengne hali ikoje jaman?? kwangu mtandao umengomea kabisa
0 Reactions
3 Replies
982 Views
Nimechaguliwa udom na muce na vyote nimeconfirm vyote nasaidiwaje
0 Reactions
62 Replies
13K Views
Salamu, wakuu kuna ndugu yangu kapata GPA ya 1.3 first year. Kwa matokeo haya kuna namna ya kuingia mwaka wa pili??? Kweli Au imeshatoka akafanye maisha mengine mtaani
2 Reactions
62 Replies
5K Views
Kwanza, ili kuwaepusha na tamaa za kudokoa, watoto hawa wanapenda na wao washike pesa na wanunue mahitaji yao ya kula, ulaya watoto wana akaunti zao. Pili, kuwaepusha na kurubuniwa na watu wenye...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Salaam! Hongereni na poleni kwa majukumu, naomba msaada kati ya Degree ya Science (ICT) na Degree ya Science (Data Management) zinazotolewa na Open University of Tanzania ipi ni bora zaidi hasa...
0 Reactions
0 Replies
855 Views
Mwenye uelewa na hiyo kozi naomba ufafanuzi please
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Muongozo wa NACTE na TCU ukoje kuhusu mwanafunzi aliyepata carry-over akiwa mwaka wa tatu/mwanafunzi anayesoma kozi ya miaka minne akapata majanga mwaka wa nne semister ya mwisho vipi anaweza...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Ndugu wana Jamii Forums naomba mnasaidie kujua Course ya INSTRUCTIONAL DESIGN AND INFORMATION TECHNOLOGY ina deal na nini na pia baada ya kuisoma unaifanyia kazi field gani msaada plz🙏🙏
1 Reactions
9 Replies
5K Views
Ndugu mwenye taarifa anisaidie maana niko bush sana, nikijua mapema itapendeza maana nitaanza mapema maandalizi ya safari kwenda kutuma maombi! karibuni ndugu zangu.
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Ndugu wapendwa nimekutana na huyu kijana ambaye alisoma programme ya kikwete ualimu wa sayansi pale UDOM na kutimuliwa sasa alifanikiwa kumaliza kozi yake. Ila anataka kusoma kozi nyingine ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habri za mdaa huu ndugu zangu kwa yoyote mwenye soft copy ya vitabu ivyo juu naomba msaada tafadhari ninashida navyo sana. Sent from my iPhone using JamiiForums
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu naomba msaada kwa mwenye soft copy ya vitabu, pamhets kwa masomo ya uchumi na accounts A level na professional studies
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Je, SAUT University Mwanza compus Kuna course ya education yenye Mathematics?
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Wadau, wakati nafanya application SUA. Nimekutana na kipengele kinachohitaji namba ya NIDA.. Sasa kama hauna inakuwaje hapa.!!, kuna mtu yeyote kakutananacho hiki kipengele..?
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari za wakati huu wana Jukwaa wenzangu, mm mdogo wenu nilifanikiwa kuomba vyuo vinne na namshukuru mungu majibu yametoka nimechaguliwa vyuo vyote hivyo nimekuja hapa kuwaombeni mnipe ushaur...
4 Reactions
46 Replies
8K Views
Wakuu natumaini mko salama mnandelea na majukumu ya hapa na pale kwa lengo la kutafuta mkate wa kila siku. Niende moja kwa moja kwenye maada naomba kupata huu mtiririko wa elimu kwa profesor...
1 Reactions
6 Replies
5K Views
Habarini wanajukwaa naomba kujua ada za Open University of Tanzania kwa Ngazi ya Diploma
0 Reactions
0 Replies
1K Views
faculty gan ni wide na bora kati ya hizi Information technology Information communication technology Computer science Computer engineering Software engineering
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…