Nawaomba ushauri kozi ya kusoma binti yangu aliyemaliza form six 2018 kapata div 2,pts 12.

Natasha Ismail

JF-Expert Member
Jul 14, 2008
735
1,000
Wadau poleni na safari ya URUSI baada ya kurudi salama naomba mnishauri katika hili.Binti yangu amemaliza kidato cha sita mwaka jana matokeo yake kapata div 2,pts 12.Alikuwa anasoma combination ya HGE amepata GS-C, HIST-D, BAM-C and ECONOMICS-D.Naombeni mnishauri kozi za yeye kusoma na ikibidi chuo gani asome kwa hapa nyumbani TZ.Kable ya matokeo alipenda kusoma finance and banking baada ya matokeo anaomba nimshauri nini asome binafsi ningependa asome LAW sijamwambia bado.Naomba ushauri wenu wakubwa wenzangu.
 
Sorry na GEOG-D.
 
pilot Joseph

Member
Jan 11, 2018
83
95

The best course for students holding HGE is AEA ipo SUA
 
Masiya

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
7,042
2,000
Kable ya matokeo alipenda kusoma finance and banking baada ya matokeo anaomba nimshauri nini asome binafsi ningependa asome LAW sijamwambia bado.
Ni vizuri asome kile apendacho labda kama vigezo vimepungua. Lakini kwa huyu sioni kama kuna tatizo. Issue kubwa ni kuchagua chuo na hapa cha kuangalia ni ushindani uliopo kwenye vyuo kama UDSM, sijui kwa BAF mzumbe ushindani ukoje. Ushauri anaweza akajaza vyuo vyenye ushindani hata kama mategemeo si makubwa, ni kujaribu tu lakini pia aweke vyuo kama IFM. Pata TCU admission guide 2018 angalia ni vyuo gani vinafaa au chagua halafu urudi hapa kuhusu hivyo vyuo.
Kuhusu sheria, hakuna ubaya kumueleza, aelewe, afikirie na afanye maamuzi, ingawapo inaonekana binti anajua anachotaka. All the best,
 
Mwanamaji

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
2,046
2,000
Hii ni BSc (Agricultual Economics and Agribusiness), UDSM wana ya kwao ingefanana na hii, lakini nafikiri ya SUA imetulia zaidi.

Ya UDSM wanaiita Bsc. Agricultural and Natural Resources Economics and Business (ANEB).
AEA and ANEB are likely to be similar
 
Munambefu

JF-Expert Member
Jun 24, 2012
1,776
2,000
Wazo la Law Ondoa mkuu Kwasababu hajasoma Language advance,hicho ni kigezo cha msingi
 
Masiya

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
7,042
2,000
Wazo la Law Ondoa mkuu Kwasababu hajasoma Language advance,hicho ni kigezo cha msingi

Mkuu angalia hii mifani miwili-ingawa mwenye A level ana added advantageBachelor of Laws (UDSM)
UD053
Two principal passes in any subjects. Those without principal or a subsidiary pass in English and History must have a credits pass in English and History at O level

Bachelor of Laws (SAUT)
SA015
Two principal passes in any Arts subjects. In case where the principal passes do not include English an applicant must have obtained a credit pass in English Language at O level.
 
Kaparo

JF-Expert Member
Sep 7, 2013
1,667
2,000
Kwa kuona kwamba amepata "BAM -C" nahisi hata o level ana credit yaani kuanzia (C-A)Asome LAND MANAGEMENT and VALUATION ya ardhi itapendeza zaidi.
Rudi nyumbani kumenoga!
 
kyagata

JF-Expert Member
Oct 18, 2016
1,825
2,000
mwambie apige uchumi kama mimi aje kula matunda ya nchi..akishindwa mlete nimuoe.asante
 
dtj

JF-Expert Member
Nov 29, 2014
1,318
2,000
Wadau poleni na safari ya URUSI baada ya kurudi salama naomba mnishauri katika hili.Binti yangu amemaliza kidato cha sita mwaka jana matokeo yake kapata div 2,pts 12.Alikuwa anasoma combination ya HGE amepata GS-C, HIST-D, BAM-C and ECONOMICS-D.Naombeni mnishauri kozi za yeye kusoma na ikibidi chuo gani asome kwa hapa nyumbani TZ.Kable ya matokeo alipenda kusoma finance and banking baada ya matokeo anaomba nimshauri nini asome binafsi ningependa asome LAW sijamwambia bado.Naomba ushauri wenu wakubwa wenzangu.
Mkuu,

Nakuomba sana, mpe yeye mwenyewe jukumu la kusoma anachotaka na chuo anachotaka.

Use my advise wisely.
 
Tissaphernes

JF-Expert Member
Mar 27, 2018
2,428
2,000
Bora mpeleke VETA, atatoka anaelewa practical ya maisha na nini afanye, ukimwezesha kidogo tu atakua mtu tofauti.
Akienda chuo, baada ya miaka 4 atarudi kukaa nyumbani.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom