Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Sisi wanafunzi wa VETA Mpanda, kuanzia mwezi wa tano tunasubiri kufanya mtihani wa PSV na HGV. Tuliambiwa mfumo umebadilika na tunapaswa kusubiri kukamilika kwa usajili kwenye mfumo mpya kwa ajili...
0 Reactions
0 Replies
19 Views
Matokeo ya CBE Dodoma Mwaka 2018/19 na 2019/20 hayajawekwa kwenye Mfumo wa NACTVET, mtu aliyemaliza miaka hiyo akirudi chuoni kuendelea na masomo, anaambiwa matokeo yake bado hayapo NACTVET...
0 Reactions
0 Replies
5 Views
Bachelor of Microfinance and Enterprises Development, inatolewa na Chuo Kikuu cha Ushirika haitambuliki kabisa na haipo kwenye mfumo wa Ajira Tanzania ni kama tu mmeenda kusoma halafu mkimaliza...
0 Reactions
0 Replies
3 Views
Katika Chuo cha CBE, kuna changamoto ya kutokuwa na uwiano katika mgawanyo wa credit za masomo. Kwa mfano, mwanafunzi anayesoma Accountancy anaweza kukuta somo linalopaswa kuwa la msingi (core...
0 Reactions
0 Replies
4 Views
Habari ndugu zangu nilikua nauliza kuhusu bachelor degree of nutrition and catering with education iliyoanza kutoka chuo Cha sokoine inahusu nini?
1 Reactions
4 Replies
73 Views
Shule ya Msingi Upendo, iliyopo Wilaya ya Ubungo, eneo la Mbezi karibu na Roundabout ya Goba, ina utaratibu unaowalazimisha wazazi kugharamia shughuli ambazo zinapaswa kufafanuliwa na mamlaka...
4 Reactions
20 Replies
143 Views
Wahitimu wa ngazi ya Diploma kwa mwaka wa masomo 2025/2026 tunakabiliwa na changamoto ya kushindwa kuomba nafasi za masomo ya Shahada kwa mwaka huu kutokana na matokeo yetu kutokuwa yamewekwa...
1 Reactions
1 Replies
47 Views
Kwenye maisha yetu ya kila siku huwa tunapitia hali ya kutaka kukua lakini inashindikana kwa sababu ya mazoea yetu ya kila siku...... Ni rahisi sana kujenga tabia inayokurudisha nyuma lakini ni...
2 Reactions
1 Replies
27 Views
Hoja ya Mdau baada ya tangazo hilo πŸ‘‡πŸ» Mmh, hili ni ongezeko kubwa sana la gharama kutoka 97,400/= hadi 255,400/=, sawa na ongezeko la zaidi ya 100%. Awali gharama za hosteli zilikuwa takribani...
1 Reactions
2 Replies
171 Views
Habari za jioni, Rafiki yangu anataka kurudi Tanzania kutoka South Africa na watoto wake wawili. Kwa madarasa ya huko wote ni seniors wako grade 8 and 10. Msaada kwa yafuatayo: Nini azingatie...
5 Reactions
48 Replies
461 Views
Licha ya eneo hilo kuzungukwa na viwanda vingi, shule hiyo haina samani za kutosha kwa wanafunzi wala walimu. Ukifika shuleni hapo, hali iliyopo inasikitisha. Je, Mkurugenzi na Meya wa Manispaa...
1 Reactions
4 Replies
88 Views
Habari za muda huu. Tunaomba Serikali na mamlaka husika, hususan Muhimbili University of Health and Allied Sciences (MUHAS), kuangalia uwezekano wa kuongeza idadi ya wanafunzi wanaodahiliwa...
0 Reactions
0 Replies
21 Views
Mambo ya kubishana chuo gani kimeiva, chuo gani kinatoa wanafunzi cream, n.k. huwa yanaishia vyuoni. Baada ya kumaliza chuo kama huna connection, je chuo ulichosoma kinakuboost upewe kipaumbele...
10 Reactions
98 Replies
7K Views
Hivi kuna kozi ngumu kama Quantum physics, mechanics ? πŸ™Œ
5 Reactions
33 Replies
419 Views
Naishi Mkoa wa Singida, naomba kuwasilisha changamoto zinazowakabili wanafunzi wa Kidato cha Tano na Sita katika MUNGUMAJI SECONDARY SCHOOL, Singida Mjini. Mdogo wangu alifaulu kujiunga na shule...
1 Reactions
3 Replies
96 Views
Albert Bandura (1960) alikuja na nadharia ya social learning theory. Hii ni nadharia ambayo imetengenezwa na Kuonesha namna ya kujenga tabia mpya..... Albert Bandura amefundisha juu ya umuhimu wa...
2 Reactions
0 Replies
31 Views
Anonymous
Vijana wengi nikiwemo mimi mwenyewe ni wahanga, tunakosa fursa na tunabanwa na kujiunga vyuo vikuu kusoma degree baada ya kuhitimu diploma za afya kama ifuatavyo. Mtu unasoma Diploma in Clinical...
4 Reactions
33 Replies
1K Views
Habari za muda huu wakuu Naomba ushauri, mtu mwenye diploma ya forensic science anaweza kusoma degree ipi hasa kama anataka kujikita kwenye uchunguzi wa maiti
0 Reactions
1 Replies
150 Views
HESHIMA MBELE wakuu. Kama mnavyojua kuwa mwezi wa saba umefika na tayari wale wanafunzi ambao walifaulu kwenye mtihani wa NECTA mwaka, wengine wanaenda kidato cha tano na cha sita huku wengine...
15 Reactions
184 Replies
8K Views
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ni chuo bora Tanzania. Kiko mbali mno kwa ubora kulinganisha na vyuo vingine. Kikubwa zaidi ni kuwa wanaodahiliwa Mlimani ni vipanga watupu. Bila Div One & Two ni...
18 Reactions
278 Replies
11K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…