Ndugu wadau wa elimu, kwenye account yangu ya mkopo(HESLB) nimewekewa ujumbe huu na inaonesha sijapata mkopo.
Hvyo nataka nikate rufaa(Appeal) ila sijui option ipi niingie au nifanyaje..?
Kwa...
Jamani eeh anayejua shule za ufundi za private sekondary tofauti na za serikali naombeni mnisaidie. tofauti na hizi
1. Rhino technical
2. Samartan technical
3. Donbosco
4. Sisters of mary...
Kwa mwaka Jana Hali ilikuwa tofaut kidogo, post zilitoka mapema sana.ila mwaka huu mambo ni tofaut kabisa. Hadi mdahuu no posts.
Kitu gan kinakwamisha?
Bachelor of Arts in Political Science and Public administration ni moja kati ya programmes bora zinazotolewa Afrika Mashariki.
UDSM inatoa mafunzo kamilifu na yenye kiwango kikubwa ila...
Habari wana JF
Msaada wa kimawazo unahitajika
Wakuu ndugu yenu hapa nilituma maombi ya kujiunga na chuo cha mweka kwa awam ya Kwanza kwa bahati mbaya Sana sikufanikiwa kupata
Cjakata tamaa...
Naomba msaada wa ushauri juu ya hili swala bamkubwa kanishauri nikasomee chuo kinaitwa Mweka cha Wildlife kipo Moshi na sijajua kuhusu ajira zake kama zipo vizuri au ni za shida ukizingatia elimu...
Hebu tukutane hapa tunaosoma hizi kozi au tuliomaliza hivi karibuni tupeane msaada jinsi mnavyoweza/mliweza kupata data hasa kwenye mitandao hasa ya serekari kama TFDA, MOH, MOF , au WHO, na...
Nataka kufanya course ya hiyo kitu hapo juu, mwenye uzoefu na ujuzi wa hiyo kitu. anisaidie kujua taasisi gani nzuri sana kwenye hiyo nyanja ambayo ina wabobezi na hayo mambo
Habarin Wakubwa mim ni ndugu yenu mmoja kat ya form six leaver na nmefaulu kwa kiwango cha Div II.10 katika Tahasusi ya PCB kama ifuatavyo phy-D, Chem-C,Bios-C,Bam-D,Gs-E.Nmekuja jukwaani kuomba...
Habari zenu jf members !
Mimi ni graduate wa B.sc in Irrigation and water Resources Engineering.
Nilikua naomba msaada wa kupata maelezo ya kina kuhusu hii programme ya SEAP iliyo chini ya...
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.
Ninawezaje kupata scholarship ya kwenda kusoma Masters...
Habari za weekend ndugu zangu.
Mwezi June-July mwanzoni nitahost vijana kama 9 wa kidato cha 4 kutoka kijijini kwetu ambao niliwapromise kuwasaidia waweze kufanya vizuri zaidi kwenye mitihani yao...
Habari wadau wangu , naomba kujua jina la shule hapa Tanzania inayofundisha ki jeruman au kifaransa nataka mwanang akasemee hapo mwakani nadhamiria ajue lugha mbili kijeruman na kingereza au...
Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza, nikisomea Shahada ya jinsia na maendeleo. Kutokana na ukweli ulioko katika Soko la ajira nadhani huu ndio muda sahihi kwangu kujipanga katika kutafuta fani...
Ukweli utaratibu uliofanya TCU wasitambue watu waliosoma engineering science kwenda kuchukua degree hasa za science kiukweli utaratibu huu unaumiza sana watu waliosoma shule za ufundi kama...
Habari wakuu...poleni na kazi
nlikuwa naomba mnipe mwanga kidogo kuhusu hizi theories on the origin of the earth
nebular theories
protoplanet theory
encounter theory
big bang theory
fission theory...