Msaada: Ni shule gani za sekondari za ufundi zina ubora?

yuga

JF-Expert Member
Dec 2, 2016
371
255
Jamani eeh anayejua shule za ufundi za private sekondary tofauti na za serikali naombeni mnisaidie. tofauti na hizi
1. Rhino technical
2. Samartan technical
3. Donbosco
4. Sisters of mary technical

Msaada jamani zingine za private nisaidieni wana jamii forum maana najua tuko maenea tofauti
 
Back
Top Bottom