Skills/ ujuzi ni kitu muhimu sana kwa maisha ya sasa

Political stability

JF-Expert Member
Apr 7, 2021
470
1,000
Umejifunza nini?
IMG_20210520_084039_254.JPG
 
sala na kazi

JF-Expert Member
Aug 19, 2017
4,884
2,000
Nimejifunza tusipoteze MB zetu bure.....

Pia ujuzi/maarifa ni nyenzo muhimu sana...

tunaweza kujifunza ujuzi/maarifa kupitia hata hapa hapa Jamiiforum...

Ok.Tusubirie wale front bench + first class zao za GPA waje wakunange
 
Blank page

JF-Expert Member
May 28, 2015
4,286
2,000
Ndio ndio
Sure online mkuu? Sasa fanya hivi we ukiona poster au logo yyte ya biashara ya mtu kaipost na haivutii au unaweza kuimprove ifanyie kazi mtumie huyo mtu bure hata bila kukuomba. Utakuja kufanikiwa.
Naomba kujua nianzie wapi ili namimi nijifunze hiyo kitu?
 
chief_

JF-Expert Member
Dec 14, 2017
829

Uwe na software kwanza uanze kuizoea, utafute toturial mitandaoni taratibu... Mimi nilianza tangu miaka ya 2015
 
Satoh Hirosh

JF-Expert Member
Mar 30, 2021
830
1,000
Sure online mkuu? Sasa fanya hivi we ukiona poster au logo yyte ya biashara ya mtu kaipost na haivutii au unaweza kuimprove ifanyie kazi mtumie huyo mtu bure hata bila kukuomba. Utakuja kufanikiwa.
Naomba kujua nianzie wapi ili namimi nijifunze hiyo kitu?
Kwanza hakikisha Una computer ambayo ina HD kuanzia 320 ram kuanzia 3 siyo mby maana ni beginner
Pia ukipata yenye graphics card itakuwa powa zaidi Ila siyo lazima ,kisha download software km Adobe Photoshop au illustrator au In Design nk kisha download totorials mbalimbali kujifunza zaidi

NB : kabla ya yote unatakiwa uwe specific unataka uwe designer wa nn na pia kazi za ubunifu unatakiwa uwe na msukumo kutoka ndani maana kujifunza na kujua ni Jambo la kawaida ..inshu inakuja kwenye ubunifu ktk kazi zako ili upate soko.. pragrialism kwenye kazi za ubunifu hairuhusiwi

Unaweza kuuliza maswali zaidi mkuu
IMG_20210521_134505.jpg
 
Unaweza kuuliza maswali zaidi mkuu View attachment 1792673
Nimekuelewa vizuri sana mkuu. Shukrani ase
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom