Kutokana na ujumbe huu na taarifa zilizopo hapo nikitaka ku-appeal naappeal vipi/wapi?

Clark boots

JF-Expert Member
Jun 5, 2017
6,401
5,526
Ndugu wadau wa elimu, kwenye account yangu ya mkopo(HESLB) nimewekewa ujumbe huu na inaonesha sijapata mkopo.
Hvyo nataka nikate rufaa(Appeal) ila sijui option ipi niingie au nifanyaje..?
Kwa yeyote aliyepata ujumbe huu yaan amekosa mkopo na akaweza kuappeal naomba ufafanuzi tafadhari
IMG_20201118_104327_046.JPG
 
Ndugu wadau wa elimu, kwenye account yangu ya mkopo(HESLB) nimewekewa ujumbe huu na inaonesha sijapata mkopo.
Hvyo nataka nikate rufaa(Appeal) ila sijui option ipi niingie au nifanyaje..?
Kwa yeyote aliyepata ujumbe huu yaan amekosa mkopo na akaweza kuappeal naomba ufafanuzi tafadhariView attachment 1629517
Mie mwenyewe nimekuta hivohivo hakuna changes,we unaenda chuo gani??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuappel mpaka january....kama upo dar jaribu kufika bodi ingawa bado lakin ukienda pale unaweza pata japo matumaini kidogo
 
Ndugu wadau wa elimu, kwenye account yangu ya mkopo(HESLB) nimewekewa ujumbe huu na inaonesha sijapata mkopo.
Hvyo nataka nikate rufaa(Appeal) ila sijui option ipi niingie au nifanyaje..?
Kwa yeyote aliyepata ujumbe huu yaan amekosa mkopo na akaweza kuappeal naomba ufafanuzi tafadhariView attachment 1629517
Kuna aliyenitumia hii kuniuliza why hawezi kufanya correction. Sijajua vp lakini unaona appeal hapo juu
IMG-20201118-WA0013.jpg
 
Kuappeal mpaka uende chuoni kwanza Kama hautafika chuo kufanya registration hata ukiappeal haitaleta tija katika maisha yako
 
Appeal window inafunguliwa mwezi wa 12 tukiwa chuo tayari na unatumia hiyo account yako ya SIPA... ni suala la muda tu sibirieni
 
Mimi mamayangu analia tu kilasaa nimemwambia asiwaze nikikosa nitapambana na vibarua popote nimeki nisome mwakani.

Nimekutaujumbe kamahuo na bado upo katika account yangu.

Naomba Mungu anisaidie na ampe mamayangu moyo wa subira nadhani ameumia kuliko mimi daah.
 
Pole xana kaka,,, MUNGU atakusaidia utapata mkopo na utaenda chuo mwaka huu.
 
Mkuu mbona unafariji watu kwenye HAMNA.. Bodi wameshamaliza batch zao zote,, sisi tumeshatupwa kwenye dustbin hvyo.. Sioni kuna sehemu wamesema kuna majina ya mikopo ya pili
 
Mkuu mbona unsfariji qatu kwenye HAMNA.. Bodi wameshamaliza batch zao zote,, sisi tumeshatupwa kwenye dustbin hvyo.. Sioni kuna sehemu wamesema kuna majina ya mikopo ya pili
Umekata tamaa kirahisi hivyo???, Kwan wamekuandikia kuwa umekosa mkopo?
Mbona mwanzoni account za watu zilikuw na ujumbe huo huo lkn zikaja kubadilika na kuambiwa kuw wamepata mkopo.. ni jambo la mda tu hilo, naelewa inachosha kusubir lkn hamn namna.
 
Mimi mamayangu analia tu kilasaa nimemwambia asiwaze nikikosa nitapambana na vibarua popote nimeki nisome mwakani.

Nimekutaujumbe kamahuo na bado upo katika account yangu.

Naomba Mungu anisaidie na ampe mamayangu moyo wa subira nadhani ameumia kuliko mimi daah.
Wengi tumepitia hizo tabu mkuu.

Mimi nilikaa mwaka mzima mtaani.
 
Hua zinatoka mpka batch 8 usikate tamaa kirahisi hivo.
Ndo Yaleyale niliyosema ni kupeana Moyo kwenye HAMNA.. Batch nane za kutokea wapi.. Hali ya kuwa hii ya 2 tu imetoka kwa mbinde..
Me sipendi kujifariji gizani kiasi hcho.. Msoto niliopitia nikiwa naomba mkopo, na stress nilizopata wakat nasubir mkopo hadi leo hii mungu ndo anajua.. Hebu ni-give up about that niendelee kupambana na mtaa haya mambo yatanikondesha indeed
 
Zinatoka Ila ukiwa chuo.
 
pole sana man shombe..tulianza pamoja kwenye vyuo siamin kam utakosa mkopo big..don give up bruh
 
Back
Top Bottom