Samily de cruze
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 230
- 683
Naomba msaada wa ushauri juu ya hili swala bamkubwa kanishauri nikasomee chuo kinaitwa Mweka cha Wildlife kipo Moshi na sijajua kuhusu ajira zake kama zipo vizuri au ni za shida ukizingatia elimu yangu ni ya kidato cha nne naombeni ushauri juu ya hili swala.
ASANTE
ASANTE