Ngunichile
JF-Expert Member
- Nov 27, 2019
- 356
- 523
Habari za weekend ndugu zangu.
Mwezi June-July mwanzoni nitahost vijana kama 9 wa kidato cha 4 kutoka kijijini kwetu ambao niliwapromise kuwasaidia waweze kufanya vizuri zaidi kwenye mitihani yao ya form 4 mwaka 2021. Natamani sana kulifanya zoezi hili kwa ukamulifu nione kama linaweza kuwaongezea performance kwenye mitihani yao ya F4 na pia nilifanye endelevu kwa miaka ijayo na kwa kuchukua wanafunzi wengi zaidi wanye maendeleo mazuri.
Nilipo onana nao mwaka jana October niligundua kwamba wana uwezo lkn mazingira wanayosomea ni hafifu ndo maana nikaamua kuja na wazo la kuwabrush up na kuwatafutia materials zaidi wakiwa ktk mazingira ya Dar miezi hii michache kabla form 4 exams.
In the right if the above, naomba contacts za tuition centers nzuri za DSM nizifanyie due diligence ndani ya mwezi huu hili vijana wangu wakifika waanze kusoma na kufanya mitihani/tests mara moja.
Natanguliza shukrani na nawatakia mapumziko mema ya mwisho wa juma.