Mwanafunzi, Weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

Wadau nimemaliza kidato cha nne mwaka Jana nimepata division 3 ya point 22 nikozi gani ambayo itanifaa Kwa ufaulu wangu na yenye gharama nafuu kulingana na uwezo wangu ni mepata biology D, English C,kiswahili C ,civics C , history C, chemistry D , geography D, physics Na math F Na literature D
Je ni kozi Gani ina nifaa
 
Back
Top Bottom