Wakuu nakumbuka niliwahi kuleta wazo la uchoraji wa katuni zinazohusu sayansi na teknolojia.
Lengo lilikua nikuleta uwelewa juu ya sayansi pamoja matumizi yake yaani technology. Lakini mpaka...
Inanifanya niweze kuelewa vitu vingi sana. Pia nilisoma Odinary diploma nilishia NTA level 4 ila Mpaka leo sijapata kujua inanisaidiaje. Na nyie naomba mtoe ushuhuda kua diploma au A level inakupa...
Wizara ya Elimu Tanzania
Msipo angalia hili la DIT linakuja na sura nyingine
Taasis ya Teknolojia Dar DIT ni Taasis maarufu yenye kutoa ujuzi lakini kwenye suala la huduma ni kama Taasis...
Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Sweden unapenda kuutaarifu umma kuhusu fursa za ufadhili kamili wa masomo ya Shahada ya Uzamili unaotolewa na Taasisi ya Sweden (Swedish Institute...
Habarini ndugu zangu,
Naombeni ushauri Mimi ni mwalimu by professional level ya diploma.
Nipo interested sana na masuala ya IT hivyo natamani hata future yangu nije nijiendeleze kwenye IT...
Katika mazingira ya sasa ya elimu na ajira, vijana wengi waliomaliza kidato cha sita hukumbwa na changamoto kubwa ya kuchagua kozi sahihi ya kusoma chuoni. Wengi wao huchagua kwa kufuata mkumbo...
Sio jambo geni wala la kushangaza kwa baadhi ya wahitimu wa vyuo vikuu nchini Tanzania kukutana na changamoto mbalimbali baada ya kumaliza masomo yao. Kwa kawaida, kumaliza shahada au stashahada...
Simaanishi kusoma hakuna maana, bali unaweza kusoma sana kwa kiwango kikubwa cha elimu lakini ukaja kukuta kitu kilichokufanya ukapata mafanikio ya maisha kwa kuwa na utajiri hata havihusiani na...
Majina ya form 4 mfano (John M. Doe), lakini yakabadilishwa na deedpoll yakawa John Doe Michael (Notice M imekuja mwisho na kuwa kwa kirefu). Na ndio Jina lililopo kwenye Cheti Diploma na Kwenye...
Unatafuta mwalimu bora kabisa wa kufundisha mwanao nyumbani?
Mtoto ana changamoto ya kuelewa? Ameanza kuchelewa kuongea? Anaogopa darasa kubwa? Anahitaji mazingira ya utulivu kujifunza?
🧠 Ana...
Habarini za siku nyingi, wakuu
1.Leo, ninaomba mnipe mawazo yenu, hivi nikienda kusomea ukalimani wa lugha ya kichina uhakika wa kupata kazi je upo?
2.chuo kipi kwa hapo daslam wanachofundisha...
Mdogo wangu alikuwa kapata chuo Kozi ya Udaktari wa Binadamu (MD)Katika chuo cha Mwanza university. Tukawa tunasubiri dogo apate mkopo ndio tumkamilishie usajili. Dogo bana si akapangiwa mkopo...
Taasisi ya Taaluma za Kiswahili ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kwa kushirikiana na Kampuni ya ALAF Limited, inapenda kutangaza ufadhili wa ada kwa wanafunzi watatu (3) waliochaguliwa...
Habari wanaJF
Naomba mwenye kuelewa kuhusu NTA LEVEL 3, au NTA LEVEL 2 na NTA LEVEL 1 inapatikanaje? maana nimeona baadhi ya vyuo unaruhusiwa kuomba kusoma certificate ukiwa na kigezo cha Pass...
Kama tulivyojadiliana maandamano ya kupinga udhembe na kukosekana uwajibika miongoni ya walimu wetu na viongozi wa chuo pia yatafanyika 18 December 2025 kama tulivyokubaliana.
Kero kwa miaka na...
Wakubwa shikamooni wadogo zangu habari zenu...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, mimi ni mtumishi wa umma kada ya ualimu nimejiendeleza kielimu kwa sasa nahitaji kujiunga na masomo ngazi ya...
Pole kwetu wote kwa msiba mzito uliolipata Taifa letu mwaka huu, mwenyezi Mungu awarehemu ndugu zetu waliotangulia mbele za haki, Amina 🙏. Enyi viongozi, muwe na hekima, madaraka ni ya kupita tuu...