Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Tatizo hasa ni nini kupungua kwa mikopo 2021 na watu wengi hususani wanaotoka kaya maskini kupata chini ya asilimia 50. Karibu tujadiliane
1 Reactions
59 Replies
7K Views
Habari waheshimiwa? Mimi nimechaguliwa kusoma course ya Electronics and Telecommunications Engineering DIT. Ningependa kufaham hiyo course kwa hiki chuo wanafundisha vizuri? Practicals zipo za...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Nafahamu mpaka sasa upangaji wa mkopo kwa wanafunzi unasuasua japo mnaeleza pesa mnayo bil 570 wanafunzi nusu ya zaidi ya waliomba hawajui hatma yao (mnachelewa). Kupanda na kushuka katika maisha...
5 Reactions
7 Replies
2K Views
Mwaka mpya Wa masomo unaenda kuanza,vyuo mbalimbali vimeanza kupokea wanafunzi wa elimu ya juu.,nimewiwa kuandika mada hii kutokana na changamoto mbalimbali ambazo zinaweza kupelekea mdahiliwa...
6 Reactions
20 Replies
4K Views
HESLB bodi ya mikopo wanadai upangaji mikopo bado unaendelea wakati tunavyojua awamu ya pili ilitakiwa kutolewa tarehe 21. Wasiwasi wakuu, tutiane moyo kwa hilo!
2 Reactions
97 Replies
9K Views
Msaada wakuu naombeni kujua kuhusu utaratibu wa majibu kwa walio omba mkopo kwa wanaoendelea huwa yanatokaje
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwema wadau?Asee wahusika ni lini mtamaliza kufanya Selection za majina ya wanafunzi waliodahiliwa kwa awamu ya nne na ku release watu tupo dilema sana.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naamin sasa ifike wakati kila mtu aamue kuvaa uhusika wake na kuchukua majukumu aliyonayo kama msimamizi au kama anaesimamiwa (UMRI HAUFICHI DHAMBI) Kauli hii itufanye tujichanganue kutokana na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu habari. Nina bwana mdogo anahitaji kusoma post graduate degree hapa bongo ama nje ya nchi. Master degree anayotaka isizidi miezi 12. Vyuo vingi hapa Bongo master degree zao ni miezi 18 ama...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari za muda. Wakuu naombeni msaada kwa yoyote mwenye PDF ya kitabu cha hiki cha (THE MINISTER'S DAUGHTER AND BEGWANI THE BEGGAR) kwa maana nimekitafuta sana bila mafanikio. Naimani ujio wangu...
0 Reactions
0 Replies
759 Views
Heshima kwenu wadau wa JF! Kwa wanafunzi walio dailiwa SUA 2021. Nichukue nafasi hii kuwakaribisha sana kwenye chuo chetu pendwa cha SUA. Unaoofikiria kujiunga na SUA mambo ya muhimu ya...
5 Reactions
47 Replies
6K Views
Nature of the Precious Stones or Nav Ratnas 1. Ruby: This has red colour. Ruby is also found in rose, black, yellow and sky blue colours. 2. Diamond: This is found in white, yellow, red, blue...
0 Reactions
5 Replies
980 Views
Mi nimesoma PCB, katika A-level niliyosoma kulikuwa na PCB na CBG. Katika tuliomaliza form six wengi wamefika vyuo vikuu hata wale waliopata div 3 na 4. Kuna walioenda computer science, food...
23 Reactions
120 Replies
26K Views
Msaada swali ya 31 kuna mtoto anasema hiyo alama ni railway. Je ni kweli? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
7K Views
Wadau msaada kuhusu hii cz nimeiona sua ina deal na nn na vp khx ajira
1 Reactions
16 Replies
10K Views
Wadau kama kichwa kinavyojieleza nahitaji kubadili kozi kutoka GIS kwenda Quantity Survey kwa anaejua naomba nipate utaratibu
0 Reactions
0 Replies
513 Views
Ndugu zangu wapendwa wanajamiiforums nina wasalimu. Mimi nilihitimu kidato cha sita na ufaulu wa Div 2.12 ya D flat(PCB). Napenda sana kusoma MD ila competition inanisumbua cha ajabu hadi kwenye...
3 Reactions
18 Replies
5K Views
Eti wakuu. Chuo gani Tz kinatoa degree ya physics, hesabu, biology au chemistry. Yaani somo kama somo.
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Hellw guys.. Natumaini mu wazima wa afya na mnaendelea na harakati za kulijenga taifa. Niende moja kwa moja kwenye point tarehe 18 NACTE walifungua dirisha kwa wanafunzi wanaobadili funi za...
0 Reactions
1 Replies
827 Views
Back
Top Bottom