Ushauri jinsi ya kupata G.P.A kubwa ukiwa unasoma clinical medicine

mooozah

New Member
Sep 26, 2021
4
3
Ndugu zangu wapendwa wanajamiiforums nina wasalimu.

Mimi nilihitimu kidato cha sita na ufaulu wa Div 2.12 ya D flat(PCB). Napenda sana kusoma MD ila competition inanisumbua cha ajabu hadi kwenye vyuo vya private nako pia competition ipo.

Nimefikiria kusoma C.O naomben ushauri wenu ili nikiingia huko nipate G.P.A Kubwa kuanzia 4.5 hadi 5.0 ili niendeleze MD hadi nifikie ndoto yangu ya kuwa daktar bingwa wa mifupa.

Nawakaribisha kwa ushauri wenu ndugu zangu!
 
Just simple, stick to your plan tia shule kama umetumwa na kijiji, kuwa na mahusiano mazuri na maticha!
Be wide minded!
I hope you'll make it!
 
Ndugu zangu wapendwa wanajamiiforums nina wasalimu.

Mimi nilihitimu kidato cha sita na ufaulu wa Div 2.12 ya D flat(PCB). Napenda sana kusoma MD ila competition inanisumbua cha ajabu hadi kwenye vyuo vya private nako pia competition ipo.

Nimefikiria kusoma C.O naomben ushauri wenu ili nikiingia huko nipate G.P.A Kubwa kuanzia 4.5 hadi 5.0 ili niendeleze MD hadi nifikie ndoto yangu ya kuwa daktar bingwa wa mifupa.

Nawakaribisha kwa ushauri wenu ndugu zangu!
Yajayo yanafurahisha...
 
Hakuna cha ziada apart from bidii na ku concentrate kwenye hicho unachokisoma.....
Kuna courses kama pharmacology, anatomy, biochemistry ,parasitology na microbiology.......
Hizi ukizikamia kwelkweli znakuandaa vzr kama utaendelea mbele....
Zngne n za kawaida tu za kuiset akili yako iwe ya kihospitalihospitali na ma ethics ya kazini.
Ila cha msingi kaza
 
Nenda chuo cha private ila kwa serikalini ni ngumu kidogo ( s*n*)
 
Mmetuchosha sasa na hizi siredi za clinical medicine
kwani hamna nyingine fani ya kusomea?
 
Kama ni mwanaume komaa na masoma, kama ni mwanamke unajua cha kufanya kwa unachotaka...
 
Kama unataka GPA hiyo 4.5+ nenda vyuo vya private utapewa hasa KAM college ila vya serikali sahau la sivyo upambane vibaya mbaya.
Ndugu zangu wapendwa wanajamiiforums nina wasalimu.

Mimi nilihitimu kidato cha sita na ufaulu wa Div 2.12 ya D flat(PCB). Napenda sana kusoma MD ila competition inanisumbua cha ajabu hadi kwenye vyuo vya private nako pia competition ipo.

Nimefikiria kusoma C.O naomben ushauri wenu ili nikiingia huko nipate G.P.A Kubwa kuanzia 4.5 hadi 5.0 ili niendeleze MD hadi nifikie ndoto yangu ya kuwa daktar bingwa wa mifupa.

Nawakaribisha kwa ushauri wenu ndugu zangu!
 
Hili jambo kuna watu nimeshawaambia naona hawaelewi now mambo yamebadilika
Kwanini usisome course nyingn ujui clinical officer kupiga MD ni shughul usije jutia mda ila Kama ndoto yako ni fixed all the best kwenye Nia Pana njia
 
Hakuna cha ziada apart from bidii na ku concentrate kwenye hicho unachokisoma.....
Kuna courses kama pharmacology, anatomy, biochemistry ,parasitology na microbiology.......
Hizi ukizikamia kwelkweli znakuandaa vzr kama utaendelea mbele....
Zngne n za kawaida tu za kuiset akili yako iwe ya kihospitalihospitali na ma ethics ya kazini.
Ila cha msingi kaza
Hv clinical medicine wanasoma hesabu??
 
Ndo maana tunalipwa hadi buku 10 kwenye vijiwe tena uwe umetibia ukikosa wagonjwa jua unakopwa
Umenikumbusha mbali nilipiga shift moja ya usiku hakukuwa na mgonjwa bosi akanambia sina hela, Co siku hz nyingi sana na thamani hkn vyuo mpk uchochoroni fani za afya za heshima imebaki Md, Pharmacy, Nursing, Radiology na angalau Lab ila Co siku hizi ujanja janja mwingi private kupeana gpa za 5.0

Sent from my SM-T285 using JamiiForums mobile app
 
Si bora hata wewe liten wengine hadi aibu kutaja bei hawa madogo hizi vitu hawawezi wakakuelewa kabisa sema kikubwa tusiache kuwashauri ili wakianza kuicheza ngoma wawe wanaelewa mazingira wasije wakapata sonona na mkazo
 
Umenikumbusha mbali nilipiga shift moja ya usiku hakukuwa na mgonjwa bosi akanambia sina hela, Co siku hz nyingi sana na thamani hkn vyuo mpk uchochoroni fani za afya za heshima imebaki Md, Pharmacy, Nursing, Radiology na angalau Lab ila Co siku hizi ujanja janja mwingi private kupeana gpa za 5.0

Sent from my SM-T285 using JamiiForums mobile app
Haya mavyuo ya private ndio yamezingua sana siku hizi, CO imekua kama ualimu wa grade A!

Saivi ukisoma CO lengo iwe kama ngazi ya kupandia kwenda kusoma bachelor.
 
Haya mavyuo ya private ndio yamezingua sana siku hizi, sio imekua kama ualimu wa grade A!

Saivi ukisoma CO lengo iwe kama ngazi ya kupandia kwenda kusoma bachelor.
Yaani vyuo vya serikali wanabana huku private mseleleko, hatari sana.
 
Back
Top Bottom