Kwa nini unasema hakuna ajira Mkuu?Hakuna ajira apoo
mawazo ya first year anaeenda field.Hakuna ajira apoo
Khx ndo nini mkuu?.Wadau msaada kuhusu hii cz nimeiona sua ina deal na nn na vp khx ajira
Mimi nilikuwa namchallenge huyo aliyesema haifai. Ukweli ni kwamba kozi hii ina uhitaji mkubwa sana. Watu hawa hufanya kazi Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali, TFDA, TBS,Chemical Processing Industries, Biochemical Industries, Agro-research Institutes na kwingineko.Kwann mkuu akuna ajira.kwan inadeal na nn axa
Tatizo nafasi za kujuana Mimi rafiki zangu wengi wamemaliza hiyo kozi wapo kitaaMimi nilikuwa namchallenge huyo aliyesema haifai. Ukweli ni kwamba kozi hii ina uhitaji mkubwa sana. Watu hawa hufanya kazi Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali, TFDA, TBS,Chemical Processing Industries, Biochemical Industries, Agro-research Institutes na kwingineko.
Hii bado soko lake lipo kubwa tu.vipi kuhusu Biomedical equipment engineering ina soko hapa bongo?
Za kuambiwa changanya na zako,,, kama wew jua kali mdogo wang huna connection yeyote,, hii koz sikushaur,,, wengi wanamaliza iyoo koz wametulia tuTatizo nafasi za kujuana Mimi rafiki zangu wengi wamemaliza hiyo kozi wapo kitaa
Hii changamoto ipo katika nyanja zote. Hivyo wasikate tamaa, watapata. Wamemaliza mwaka gani?Tatizo nafasi za kujuana Mimi rafiki zangu wengi wamemaliza hiyo kozi wapo kitaa
Wanaomaliza kozi gani hawakumbani na changamoto ya KUJUANA pindi waombapo kazi?Za kuambiwa changanya na zako,,, kama wew jua kali mdogo wang huna connection yeyote,, hii koz sikushaur,,, wengi wanamaliza iyoo koz wametulia tu
KuhusuKhx ndo nini mkuu?.