Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Nimepata mshtuko na kushangaa Sana ,Mara baada ya kuona vigezo vipya vilivotolewa tar 15.7 Kwa wanaotaka kujiendeleza kielimu idara ya Afya kutoka stashahada kwenda shahada. Ikumbukwe kabla ya...
2 Reactions
40 Replies
6K Views
Ndugu wadau unaombwa ubadilishano wa vituo vya kazi kutokana mtwara mjini kwenda Dodoma kwa masiliano nicheki 0712704860, AHSANTENI SANA
0 Reactions
22 Replies
3K Views
mi ni mwalimu wa sekondari natafuta mwalimu wakubadilishana vituo vya kazi nitoke Bariadi niende aidha Nyamagana, Kahama, ilemela au shinyanga kama yupo anipm
0 Reactions
1 Replies
1K Views
naitwa riziki nipo musoma mara nataka kuhamia arusha. anayetaka kubadilishana tuwasiliane 0712 309003 au 0687 899 007
1 Reactions
1 Replies
2K Views
awamu ya pili ya mwezi wa tatu tarehe kumi na tano ishapita,je awamu ya pili ni tarehe ngapi na mwezi wa ngapi?
0 Reactions
2 Replies
3K Views
WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi Naitwa mwal msofe nipo mara musoma... sehemu nzuri... huduma zote zipo... usafiri...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Je, hii namba ipo? Na je, inafahamika?
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Kwa mliwahi kurudia mtihani wa kidato cha nne au mwenye kujua, ilirudia somo moja la physics mwaka jana na nimepata alama D, nimewahi kusikia ili upate cheti kama umefanya somo moja inatakiwa...
0 Reactions
2 Replies
692 Views
Wakuu samahani Mdogo wangu matokeo ya form 4 kapata D mbili je ni chuo gani naweza mpeleka akaanze certificate msaada wa mawazo yenu ndugu zangu
2 Reactions
27 Replies
9K Views
Wakuu habari za mda huu na poleni kwa mihangaiko! Kama maana inavyojieleza hapao juu. Nahitaji mwalimu ambaye yuko vizuri kwenye upande wa database ili apate niwe mwanafunzi wake kuna changamoto...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Haya ni baadhi ya maneno ya Kiswahili yaliyotumika kuifundisha Sayansi miaka ile,wewe unakumbuka lipi? 1.Hewa ya ukaa -Carbon dioxide. 2.Joto ficho -Latent heat. 3.Hamirojo -Protein...
3 Reactions
107 Replies
32K Views
Mimi nimesomeshwa hilo, yaani kila teacher wa lugha niliyokutana nao ktk kipengele cha poems basi hapo ndo Kimbilio. Mengine ni: A freedom song Development n.k Miaka zaidi ya 15 baadae, watoto...
2 Reactions
8 Replies
967 Views
Sifa na Utukufu ni Mali ya Mungu wetu, Naliinua na kulitukuza Jina lako sasa na hata milele. Moja kwa mbili kwenye mada, Wadau wa elimu, afya na vyuo vya utabibu na Nacte, ninawauliza je, ni Nini...
3 Reactions
60 Replies
12K Views
Mwanzoni nilileta bandiko hapa kwamba nimeamua kurudia mtihani wa kidato cha nne baada ya miaka kupita 10 wadau walinishauri vizuri sana Pia nilieleza changamato yangu ya kutokusikia vizuri huku...
0 Reactions
6 Replies
876 Views
Leo Kuna mwalimu nimekutana naye akanieleza kuhusu kalenda mpya ya kufundishia shule za msingi na za sekondari. Anadai kuwa waalimu Tanzania nzima watafundisha kitu cha kufanana ktk wiki na...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu habari.. Kuna mdogo wangu, amemaliza form 4 , ila matokei yake sio mazuri, tume plan kumpeleka akasome short course, chuo chochote cha veta.... Ila sasa, hatujajua akasomee kozi gani...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu hayati mzee wa chato alisema mwezi huu somo la historia ya Tanzania ianze kufundishwa nchi nzima kwa lugha ya kiswahili na ndalichako alisema kila kitu kiko sawa! Sasa naona kimya hadi Sasa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hivi hii degree ya clinical medicine,ni miaka mingap huko nje ya nchi,na ukirud unaruhusiwa kufanya operation zote kama MD..??Na anejua ada ya chuo kimojawapo kwa mwaka anisaidie kufahamu hilo pia.
2 Reactions
70 Replies
11K Views
Wakuu habari kama kuna mtu ana videos tajwa hapo juu tuwasiliane please tuyajenge nataka nianze kusoma vpa naanza na foundation stage
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…