Kwa matokeo haya inafaa kusoma wapi?

Kwa matokeo haya inafaa kusoma wapi?

Kaka madenge

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2021
Posts
312
Reaction score
582
Mwanzoni nilileta bandiko hapa kwamba nimeamua kurudia mtihani wa kidato cha nne baada ya miaka kupita 10 wadau walinishauri vizuri sana
Pia nilieleza changamato yangu ya kutokusikia vizuri huku mwanza nilipo naweza kupata chuo au shule ya advance kipi kinafaa?

Kwa matokeo haya inakuwaje?
History C
Civics C
Kiswahili B
Literature D
Geography F
English F..

Shukrani.
 
Hongera mkuu, umejitahidi ingawa kwenye geography na english umezingua kinyama, rudia tena hayo masomo ili uweze kusoma HKL, HGK, HGE( kama unaweza hesabu)
 
Back
Top Bottom