TCU hamtaki wenye stashahada kwenye idara ya afya wajiendeleze?

TCU hamtaki wenye stashahada kwenye idara ya afya wajiendeleze?

Dhurqaiyer

Senior Member
Joined
Aug 2, 2016
Posts
104
Reaction score
42
Nimepata mshtuko na kushangaa Sana ,Mara baada ya kuona vigezo vipya vilivotolewa tar 15.7 Kwa wanaotaka kujiendeleza kielimu idara ya Afya kutoka stashahada kwenda shahada.

Ikumbukwe kabla ya 2011 kuingia kozi za afya ngazi ya stashahada iliitaji Pass ya biology pekee baada ya mwaka hii ilipandishwa kua Pass mpaka sasa ndo inaitajika 2 credit Na D physics,kutokana Na hilo wenye stashahada wanaotaka kujiendeleza kwenda shahada hawana hizo credit maana haikua vigezo .

Leo TCU mnapopandisha vigezo vitoke wapi? Je mwenye GPA ya kuanzia 3.5 pass zaidi ya 5 ikiwemo za hayo Masomo ya phy,chem Na bios unamuachajee et mpaka awe na credit ya bios Na chem Nawakati haikua vigezo vyake pindi anaingia stahahada??

Ukisema et Kwa sababu anagusa maisha ya watu kumbuka huyu mtu bado anagusa maisha ya watu mpaka sasa Na stashahada yake kwanini asiruhusiwe akaongeze ujuzi??sijajua maana ya kuongeza vigezo hapo Ni nini Tena Kwa Afya pekee.

MAONI YANGU

hakuna sababu ya kada ya Afya pokee kuongezewa vigezo maana hawa watu wanagusa maisha ya watu mpaka sasa Na wanauzoefu waachwe wakaendeleze taaluma zao.

Kwa vigezo vya kawaida PASS 5 ikiwemo za science phy,chem Na bios pia G.P.A ikiwezekana irudishwe 3.

Mama ndalichako Na TCU tunaomba mfanyie kadi hili
 
waislam walipomlalamikia ndalichako enzi zile mliwaona punguani... kusema kweli katika awamu hii ya tano kuna hawa mawaziri wawili wakiongea natamani hata kubadili chanel ...

1) Kariuki

2) Ndalichako
Bahati Mbaya sikuwahi kufatilia malalamiko ya waislamu juu ya hawa mawaziri,walikua wanalalamika pia kuhusu nini?
 
Bahati Mbaya sikuwahi kufatilia malalamiko ya waislamu juu ya hawa mawaziri,walikua wanalalamika pia kuhusu nini?
Anza kufuatilia sasa ili ujue kwanini walikuwa wanalalamika.

Jambo moja kubwa ambalo wewe na wao mnafanana katika kulalamika ni hili tu. MFUMO WA ELIMU UNAWABAGUA KWA MAKUSUDI na nyinyi mnataka mfumo wa Elimu uwazingatie kipekee kwa makusudi.
 
Shida sio namna ya ku apply shida vigezo vimepanda Kwa kozi za afya kitu ambacho Ni vigumu kuvifikia vigezo vya sasa Kwa salio wengi hivyo wataalamu wengi wa Afya wengi kuishia stashahada
Watashusha vigezo tu mkuu kama applicants hawatakidhi mahitaji.
Refer:mwaka 2016 walianza na 3.5 wakashuka mpaka 3.0
 
Anza kufuatilia sasa ili ujue kwanini walikuwa wanalalamika.

Jambo moja kubwa ambalo wewe na wao mnafanana katika kulalamika ni hili tu. MFUMO WA ELIMU UNAWABAGUA KWA MAKUSUDI na nyinyi mnataka mfumo wa Elimu uwazingatie kipekee kwa makusudi.
Sawa nitafutilia kuanzia sasa ila nikuweke Sawa kidogo hapo mkuu,Mimi sitaki watuzingatie kipekee Na Ndio Maana nikaomba GPA irudishwe 3.0 Kama vigezo vya kozi zote,Na vya o level virudishwe pass 5 maana hakuna sababu ya kupandisha tena Kwa Afya pekee.Ahsante
 
waislam walipomlalamikia ndalichako enzi zile mliwaona punguani... kusema kweli katika awamu hii ya tano kuna hawa mawaziri wawili wakiongea natamani hata kubadili chanel ...

1) Kariuki

2) Ndalichako

ww unatamani, mm nabadili. staki kabisa kuwasikia!!
 
Watashusha vigezo tu mkuu kama applicants hawatakidhi mahitaji.
Refer:mwaka 2016 walianza na 3.5 wakashuka mpaka 3.0
Natamani iwe hivyo warudishe PASS za Masomo ya science badala ya credit Na warudishe Iyo G.P.A 3.0 lakini sijui maana wamepandisha Afya pekee
 
waislam walipomlalamikia ndalichako enzi zile mliwaona punguani... kusema kweli katika awamu hii ya tano kuna hawa mawaziri wawili wakiongea natamani hata kubadili chanel ...

1) Kariuki

2) Ndalichako
Upo sahihi mkuu
 
Natamani iwe hivyo warudishe PASS za Masomo ya science badala ya credit Na warudishe Iyo G.P.A 3.0 lakini sijui maana wamepandisha Afya pekee
Yaani mkuu hawa wanataka wenye stashahada wasijiendeleze kwa hivi vigezo vipya.
 
waislam walipomlalamikia ndalichako enzi zile mliwaona punguani... kusema kweli katika awamu hii ya tano kuna hawa mawaziri wawili wakiongea natamani hata kubadili chanel ...

1) Kariuki

2) Ndalichako
Hmm,uislam unaiingiaje ktk mfumo wetu wa elimu nchini? Kwani waislam ,wakristu na wengineo Tzania husoma ktk shule zote bila kujali imani zao. Ni wapi Ndalichako alibagua waislam? Jitahdn kuwa objective,jamani.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Mkarisiti nani aliwaambia muwe matahira na vilaza, mimi form 4 nilikuwa na A nane na B mbili, six nilikuwa na A mbili na N moja. We unaonekana ulifeli
 
Mkarisiti nani aliwaambia muwe matahira na vilaza, mimi form 4 nilikuwa na A nane na B mbili, six nilikuwa na A mbili na N moja. We unaonekana ulifeli
kigezo cha kujua kusoma Na kuandika sio kigezo cha kutofikiri ,jibu kulingana Na posti aliekwambia wote duniani tunatakiwa tuwe Na A ni nani? Hizo nyingine kawekewa nani Kwa jinsi ulivyojibu posti nadhani Hata hizo A nizakukariri majibu.
 
Back
Top Bottom