Nini hatima ya NTA level 5 clinical medicine 2021

Mtumaini Mungu

JF-Expert Member
Aug 3, 2021
879
1,061
Sifa na Utukufu ni Mali ya Mungu wetu, Naliinua na kulitukuza Jina lako sasa na hata milele.

Moja kwa mbili kwenye mada, Wadau wa elimu, afya na vyuo vya utabibu na Nacte, ninawauliza je, ni Nini hatima ya vijana wa Utabibu mwaka wa pili (Nta level 5) kwa mwaka 2021? Maana Nta 4 na 6 wote wamepata matokeo yao.

Vijana hawa ndio wanatakiwa wamalize NTA LEVEL 6 (DIPLOMA) mwaka huu 2021/2022, ili watuhudumie.
 
Unasoma chuo gani maana vyuo vingi leo ndo wametoa majibu kwa NTA level 4, 5 na 6 maybe subiri kesho mkuu relax
 
Yan hawa vijana wana bahati mbaya waombe mungu tuu....apo utaposikia C inaanzia 65
 
Sijajua kwa upande wa course nyengine....lakini kwa clinical medicine ndio najua
Me nmesikia kwa level 5 semester 2 hatari tupu naona sahivi mchawi ni kuvuka mwaka wa pili tu, na kwa upande wa c.o huko sijajua mkuu ila napo nasikia jau tupu
 
Me nmesikia kwa level 5 semester 2 hatari tupu naona sahivi mchawi ni kuvuka mwaka wa pili tu, na kwa upande wa c.o huko sijajua mkuu ila napo nasikia jau tupu

Yan Co ni balaaa....lakini level 6 na 4 wao wametelezaa tuu
 
Level 5 mitihan yao yote ilivuja tena ule mvujo konki peper zote from section A hadi mwisho...ndio tatizo na wizara imejua...mbaya zaidi watu wamekutwa na vimbwa wengi tuu
Hiyo iliyovuja ni level 5 au 6. Ila uvujaji wa hivi ni wa kifala sana, yani hakuna chuo hii mitihani hawajapata.
Famasia naona NACTE na regulator wao wamekaza sana. Kuna vyuo waliofaulu sio hata 10% ya waliosajiliwa kwenye mtihani
 
Level 5 ndio walivujisha kupitilizaaa....
 
Hiyo iliyovuja ni level 5 au 6. Ila uvujaji wa hivi ni wa kifala sana, yani hakuna chuo hii mitihani hawajapata.
Famasia naona NACTE na regulator wao wamekaza sana. Kuna vyuo waliofaulu sio hata 10% ya waliosajiliwa kwenye mtihani
Me naona kama serikali ina mpango wa kupunguza watu wa pharmacy waana vyuo now days vimekua vingi mno
 
Hivi wanawwza kurudia pepa kweli?..

Maana nchi nzima sio jambo dogo
 
Yan huu msala ni wote hadi medicine subir uone...watapunguzwa sana
Duuh mwaka huu tutaona mengi naona sasa wanapoelekea watakaza zaidi mpaka kwenye mitihan ya leseni mkuu
 
Back
Top Bottom