Mwenye ujuzi na hili tafadhali anisaidie

Mwenye ujuzi na hili tafadhali anisaidie

Chief_mataka

Member
Joined
Jan 27, 2022
Posts
99
Reaction score
104
Kwa mliwahi kurudia mtihani wa kidato cha nne au mwenye kujua, ilirudia somo moja la physics mwaka jana na nimepata alama D, nimewahi kusikia ili upate cheti kama umefanya somo moja inatakiwa upate kuanzia C.

Je, ni kweli cheti hakitotoka?

NAWASILISHA [emoji1488]
 
Back
Top Bottom