Msaada kuhusu short course

Msaada kuhusu short course

Political stability

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2021
Posts
905
Reaction score
1,410
Wakuu habari..

Kuna mdogo wangu, amemaliza form 4 , ila matokei yake sio mazuri, tume plan kumpeleka akasome short course, chuo chochote cha veta....

Ila sasa, hatujajua akasomee kozi gani, ambayo hata akimaliza aweze ku handle baadhi ya tenda kwa alicho kisomea .. kwa kujiajir au kuajiriwa.

Msaada wenu ...
 
Utulivu wakisiasa,hapo sidhani kama utapata ambacho unakitafuta.kitu cha kwanza muulize mhusika anataka kufanya shughuri zipi ambazo utaona zina ambatana na fani ipi?ndo umpeleke ila siyo wewe unauliza ili um-4ce akasome wadau walicho kushauri hapana.kwanza mpe nafasi atulize kichwa na matusi yakumtukana kuwa amepoteza ada bure hapana.mambo ya mitihani yanamambo mengi pia mtie moyo afungue ukurasa mpya ila usimfanye awe na mawazo bali mfanye kuwa Rafiki kwakipindi hiki.atakwambia anacho penda fanya sasa maamuzi.pia naamini hili jukwaa lina watu wenye mtazamo chanya zaidi watakupa 2,3..jazia nyama dogo asonge mbele.SIYO KU-FELI NDO MWISHO WA MAISHA HAPANA.
 
mwambie asome FORKLIFT OPERATOR ni mwezi mmoja tu au asome AUTO ELECTRIC ni almost miezi miwili halafu aunganishe na AUTO ELECTRIC DIAGNOSIS
 
Utulivu wakisiasa,hapo sidhani kama utapata ambacho unakitafuta.kitu cha kwanza muulize mhusika anataka kufanya shughuri zipi ambazo utaona zina ambatana na fani ipi?ndo umpeleke ila siyo wewe unauliza ili um-4ce akasome wadau walicho kushauri hapana.kwanza mpe nafasi atulize kichwa na matusi yakumtukana kuwa amepoteza ada bure hapana.mambo ya mitihani yanamambo mengi pia mtie moyo afungue ukurasa mpya ila usimfanye awe na mawazo bali mfanye kuwa Rafiki kwakipindi hiki.atakwambia anacho penda fanya sasa maamuzi.pia naamini hili jukwaa lina watu wenye mtazamo chanya zaidi watakupa 2,3..jazia nyama dogo asonge mbele.SIYO KU-FELI NDO MWISHO WA MAISHA HAPANA.
Aisee, nimekuelewa sana
 
Back
Top Bottom