Duh ingekuwa unatoka dar tungebedilishana hata leo...
Duh ingekuwa unatoka dar tungebedilishana hata leo...
Jitangaze wapo wadau hawapendi purukushani za jiji.
Nshawaambia wananambia habari za kwenda ukerewe mara mtwara...
Uzi una page 210 kwakweli sijapitia woteUmepitia ule uzi kule jukwaa la elimu?
Uzi una page 210 kwakweli sijapitia wote
Pitia taratibu taratibu kwa page,,pitia kumi kumi au tano ukipata muda!
nipo mpanda mjini idara ya sekondari, nataka kuhamia shinyanga mjini au tabora mjini. Tuwasiliane 0712910730.ndugu wadau unaombwa ubadilishano wa vituo vya kazi kutokana mtwara mjini kwenda dodoma kwa masiliano nicheki 0712704860,
ahsanteni sana
Ndugu wadau unaombwa ubadilishano wa vituo vya kazi kutokana mtwara mjini kwenda Dodoma kwa masiliano nicheki 0712704860,
AHSANTENI SANA
upo shule gani hapo town!?
dodoma wilaya ya bahi 'sekondari' kwenda kanda ya ziwa mkoa wowote tutafutane.
dodoma wilaya ya bahi 'sekondari' kwenda kanda ya ziwa mkoa wowote tutafutane.
Njoo Musoma manispaa
dodoma wilaya ya bahi 'sekondari' kwenda kanda ya ziwa mkoa wowote tutafutane.