Ana 4 ya 33 yaani ana D mbili ni chuo gani anaweza soma

SHULE ni upuuzi kama upuuzi mwingine.

Siku huzi chuo wanafunzi wanafuata connection &buum la kuwabusti mambo yao na sio kufuata elimu.

Ukilijua hilo hutaangaika kuwasomesha ndugu/watoto zako elimu mzigo ambayo haina manufaa zaid ya kuwafanya kuwa tegemezi na walalamishi kwa kila jambo.

Hizo pesa za kumpeleka chuo ni bora utunze ama uziwekeze ktk ardhi ama mali zinazokuwa kigharama kadri muda uwendapo, na pale huyo kijana akipata akili ya maisha basi mkabizi urithi wake ajitegemee.

Kama vip mtaftie hata kijichuo cha mchongo akaendelee kukua huko na wenzake ili akili zizidi kuchangamka ama vip peleka veta akapate mafunzo ya ufundi,

Acheni kukalili maisha, si kila mtu lazma apite njia walizopita wengine, mtaendelea kupoteza muda wenu na pesa zenu kwa Mambo Uselessness.
 
Shule au chuo ni muhimu kiasi chake hauendi chuon kusoma tu unaenda kukutana na watu... unatengeneza network na kuna privilege unazipata wakat upo chuon, kuna vingi unajifunza unless huyo anaoenda kusoma akiwa kichwa maji
 
Wakuu samahani

Mdogo wangu matokeo ya form 4 kapata D mbili je ni chuo gani naweza mpeleka akaanze certificate msaada wa mawazo yenu ndugu zangu
Vyuo ambavyo vinatambulika na vipi chini ya NACTE ufaulu wa chini wa kuweza kudahiliwa ni kuanzia D nne.
 
Wakuu samahani

Mdogo wangu matokeo ya form 4 kapata D mbili je ni chuo gani naweza mpeleka akaanze certificate msaada wa mawazo yenu ndugu zangu
Nashauri kama anataka kuendelea na certificate arudie mtihani wa kidato cha nne apate walau D mbili zingine ziwe jumla 4
 
Back
Top Bottom