Habari ndugu zangu JF!
Nipo katika wakati mgumu kuhusu shule.
Nimetoka kupokea matokeo ya test nimepata 0/15. Somo la East African Community law. Sio kwasababu sikuwa na majibu sahihi, Lah! Ni...
Habari zenu wapendwa, leo ni siku ya mapumziko tuishi katika bwana. Niende kwenye Mada husika bila kupoteza mda.
Nina rafiki angu yupo Johannesburg nchini Afrika Kusini ananisumbua kila siku...
Napongeza sana utoaji wa tuzo katika elimu haswa kwa wale wanaofanya vizuri pamoja na walimu wao๐
Ila sijaelewa vigezo katika tuzo ya msimamizi bora wa mtihani๐ค Nn kinazingatiwa katika utoaji wa...
Napongeza sana utoaji wa tuzo katika elimu haswa kwa wale wanaofanya vizuri pamoja na walimj wao๐
Ila sijaelewa vigezo katika tuzo ya msimamizi bora wa mtihani๐ค Nn kinazingatiwa katika utoaji wa...
Serikali ingefanya mpango wa kuwapa boom la mtaji kwa wanohitimu vyuo vikuu. Baada ya graduation graduates wote wapewe boom la kwenda kuwasaidia kuanzia maisha mtaani.
Hii ingesaidia kujiajiri...
Wakuu naomba utofauti wa namna ya kujibu swali kutokana na hizo key(hayo maneno)
Mfano umepewa swali:
Explain types of research.
Describe types of research.
๐๐๐
Habari ya majukumu wana jamii forums wote, heshima kwenu nyoote mnaoendelea kupapamba kwa ajiri ya maendeleo ya maisha yetu,
๐๐๐ฆ๐๐จ ๐ค๐ฎ๐ฎ ๐ฅ๐ข๐ฅ๐ข๐ฅ๐จ ๐ง๐ข๐ฅ๐๐ญ๐ ๐ค๐ฐ๐๐ง๐ฎ ๐ฐ๐๐ง๐๐ฃ๐๐ฆ๐ฏ๐ข ๐ง๐๐จ๐ฆ๐๐ ๐ฎ๐๐๐๐๐ง๐ฎ๐ณi ๐ค๐ฐ๐ ๐ฆ๐ญ๐ฎ...
Niaje wakuu[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Si ndo tukafungua "goli" pande za kwa Azizi palee, na washkaji zangu wawili, karibu na kile chuo cha wale jamaa wa mambo ya hela...
Habari wakuu,
Nahitaji kwenda kusoma nchini Marekani katika kozi za Afya especially nursing, nategemea kujigharamia mwenyewe gharama zote mpaka kumaliza masomo.
Naomba kupewa taarifa na wazoefu...
Habari wakuu? Mimi ni kijana mwenye shahada ya kwanza ya uhandisi wa viwanda.
Muda sasa nimekuwa nikifikiria wapi nitapata 'short courses' hasa kwenye vyuo vyetu/taasisi za ndani kwa ajili ya...
Habarini za wakati huu wana jamvi,
Natumaini ni wazima na mnazidi kusongesha gurudumu la maisha katika nchi ya mama. Sasa katika pita pita zangu kwenye social media nimeokota hili la mwanafunzi...
Nimepata mshtuko na kushangaa Sana ,Mara baada ya kuona vigezo vipya vilivotolewa tar 15.7 Kwa wanaotaka kujiendeleza kielimu idara ya Afya kutoka stashahada kwenda shahada.
Ikumbukwe kabla ya...