Kwanini elimu ya Afrika haitambuliki Ulaya?

Kwanini elimu ya Afrika haitambuliki Ulaya?

BIN DINGO

Member
Joined
Jul 31, 2018
Posts
5
Reaction score
0
Kwanini ukija kuanza maisha Ulaya kama ulimaliza degree au level nyengine ya elimu kama umesoma Afrka haitambui elimu yako unaanza upya, nini tatizo?
 
Tuanze kutoitambua Elimu ya Ulaya na sisi huku Africa..
 
Hata wewe ungeutambuaje mfumo wa elimu ambao mhitimu wake hajui hata HISTORIA ya nchi yake.....??

Ungeutambuaje mfumo wa elimu ambao wahitimu wake ana amini kwenye kufaulu mitihani kuliko kujipatia maarifa....??

Ungeutambuaje mfumo wa elimu ambao wahitimu wake wanaoamini kwenye kuajiriwa serikalini pekee yake.....??
 
Sio kweli , wapo watu wamesoma Tz na wanafanya kazi ng'ambo kwenye taaluma zao, ni competence yako tu.
 
Back
Top Bottom