Nini tofauti kati ya maneno Explain na Describe

Nakadi

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2017
Posts
7,778
Reaction score
7,375
Wakuu naomba utofauti wa namna ya kujibu swali kutokana na hizo key(hayo maneno)
Mfano umepewa swali:
Explain types of research.
Describe types of research.

🙏🙏🙏
 
Inategemea unaongela muktadha upi,
Kwa upande wa Muktadha wa Sayansi hayo maneno hayana utofauti katika maelezo pindi unapojibu swali either written or oral.

Ila sio mzoefu kwenye upande wa Social science lakini natumaini yana utofauti na hususani unapojibu hasa maswala ya Assay kwenye kuweka sijui reference ya vitabu na vitu kama hivyo, nadhan kuna watu wa Social Science watakusaidia kukujibu hilo!
 
[emoji120][emoji120][emoji120]
Explain ni kuelezea jambo lieleweke sawasawa lakini
Describe ni kuelezea kwa kina kwa kurejea mifano kadha wa kadha su hata kutumia michoro katika kuelezea jambo.
 
Inategemea unaongela muktadha upi,
Kwa upande wa Muktadha wa Sayansi hayo maneno hayana utofauti katika maelezo pindi unapojibu swali either written or oral.

Ila sio mzoefu kwenye upande wa Social science lakini natumaini yana utofauti na hususani unapojibu hasa maswala ya Assay kwenye kuweka sijui reference ya vitabu na vitu kama hivyo, nadhan kuna watu wa Social Science watakusaidia kukujibu hilo!
Asante sana Mkuu🙏🙏
 
Wakuu naomba utofauti wa namna ya kujibu swali kutokana na hizo key(hayo maneno)
Mfano umepewa swali:
Explain types of research.
Describe types of research.

🙏🙏🙏
Explain - elezea
describe = toa wosia, muonekana.
DESCRIBE/DESCRIPTIVE RESEARCH
Kwa vile umetoa mfano wa wa utafiti nitakupa maelezo kidogo. Kuna kitu inaitwa descriptive research. Huu utafiti unaangalia varibles na kuzi"quantify". Unapoerlezea sifa au characteristic za sample unai"describe" sample. Unaweza kusema sample size ni 8000, 60% ya sample ni wanawake 12% ni watoto, 90% yao wana income ya shillingi millioni 50 au zaidi...na menginayo yanayotaja sifa au characteristic za sample quantitively.

EXPLANATORY RESEARCH
To explain is to provide information idepth trying justify or even show relationship. Explanatory research/studies focus of showing relationshi between two or more variables, where you have an independent variable or variables affecting one single dependent variable. Where the relationship is between two variable we call this bivariate and if more that two we call that multivariate. The earlier one (descriptive) is univariate. If you are a student of statistics you might have heard of uniaviariate, bivariate, and or multivariate statistical analysis, The later two focus on what brings/causes or is responsible for changes. The independent variable(s) is responsible for changes in dependent variable If you changes are introduced in the independent variable, it automatically triggers changes in the independent variable...this is too much, if you need a private lecture, let me know and I will let you know how to contact me through zoom. lecture is free
 
Thanks mkuu, nondo zimeshiba kwa kweli nimeongea kitu hapa
 
Hili hap swali wengi waliingia Chaka siku hyo

Research cab be classified into 4 main categories explain ?

Embu nipe majibu ya hili swali
 
Describe a human being:
one head, two arms, two legs, two eyes, ears, has genital parts etc . Ni vile binadamu anaonekanaje.

Explain a human being:
Mwonekano kifizikia, tabia zake kibaiolojia, tabia zake kisosholojia, pyschology yake nk
 
Hili hap swali wengi waliingia Chaka siku hyo

Research cab be classified into 4 main categories explain ?

Embu nipe majibu ya hili swali
The above is a poor question. If the instructor was referring to types there are two applied and basic. If reference was to approaches, then we have quantitative, qualitative, and mixed (uses both qualitative and quantitative approach). There is also descriptive and explanatory research. I am therefore lost, as to what the instructor was aiming at. The instructor might of requested students to list and describe but not explaining categories. Maybe the issue is language, but as an instructor, one must make sure that simple and precise language is used. Any time your choice and use of words becomes questionable, you are going to be challenged, especially if students do not perform well because your questions were not clear.
 
Hebu tusubiri majibu mkuu..
Uliuzwa kwenye Usaili..?
 
Mkuu, kama pale DODOMA utumishi wao wanauliza tu kuwa explain types za research hawana mambo mengi.. Sasa sijui hapa tuwe tunaingia wapi, Ila kwa nilivyosoma Darasani ni kuwa research zimegawanyika kutokana na misingi ifuatayo:-
1. Type based on function hapa Kuna
Exploratory, descriptive and Explanatory researchs

2. Type based on type of data hapa Kuna
Quantitative and qualitative researchs.

3. Type based on aim hapa Kuna
Basic/pure and Applied researchs.

4. Type based of the inherent ability of "controlling" rival explanations.
Hapa Kuna Experimental and Non- Experimental researchs.

so kama ulivyosema, sometimes swali linaweza kushinda kujibika kutokana na muuliza kutodadavua swali freshy.
SO unaweza nirekesbisha kama nimeteleza hapo juu
 
Chuo tulikuwa na dr yule alikuwa balaa akitoa swali, tunakusanya karatasi, basi anaanza kuchagua mmoja ,anakupa karatasi yako😂hapo hapo darasani anauliza umeelewa swali? Unajibu ndio😉 anasema tueleze ulicho kiandika kwa ufupi😂😂.

Siku moja akamwambia kaka mmoja asimame atueleze alichokiandika kwa ufupi🤣 yuke kaka akaanza kucheka, dr akamuuliza unacheka nini tueleze ulichoandika. Yule kaka akajibu," mimi nimeandika kila kitu najua hutokosa majibu humu😂😂😂😂 tulicheka sana na yule dr pamoja na u serious wake aliacheka dah, ndo siku hiyo tukajua kumbe nae anachekaga hivyo😄

Nina imani huko mlikosoma kila darasa lazima liwe na mtu ambae anavituko. Siku asipoingia class basi mna mu miss. Lazima watu waulize alipo.
 
Back
Top Bottom