"Nimepungukiwa hela ya ada, na UE zinakaribia"

BONNIE GOLD

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2021
Posts
488
Reaction score
968
Niaje wakuu[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

Si ndo tukafungua "goli" pande za kwa Azizi palee, na washkaji zangu wawili, karibu na kile chuo cha wale jamaa wa mambo ya hela [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

Sasa katika harakati zile za hapa na pale za "kibaharia" za kawaida kabisaaaa, unajikuta una namba hata 10+ za madent wa kile chuo [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

Napiga story na washkaji, wananambia wimbo wa wiki hiii ni manzi zimepungukiwa ada bhana, na UE zinakaribia [emoji19][emoji19][emoji19][emoji19][emoji19], na hata mimi nimeimbiwa sana huu wimbo this week.

USHAURI: WAZAZI WALIPIENI WATOTO ZENU ADA.
 
Kama unauwezo mkuu walipie tu,coz Ada ya TIA sio kubwa sanaa.
NOTE
Hakuna mzazi anaependa mtoto wake asumbuke/ kuhangaika na changamoto za Ada! Bali ni Economic depression ambayo inakumba familia nyingi. Hivyo ukiona mtu analialia,kuliko kuja kuandika huu utopolo ni afadhali ukamsaidia tu naamini Mungu atakubariki zaidi
 
Watakuwa wamekula ada hao maana tulishawapa wakalipe!
 
Kama unauwezo mkuu walipie tu,coz Ada ya TIA sio kubwa sanaa.
NOTE
Hakuna mzazi anaependa mtoto wake asumbuke/ kuhangaika na changamoto za Ada! Bali ni Economic depression ambayo inakumba familia nyingi. Hivyo ukiona mtu analialia,kuliko kuja kuandika huu utopolo ni afadhali ukamsaidia tu naamini Mungu atakubariki zaidi
Relax dada!![emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

This is another way of saying "wanafunzi kwa vizinga"
 
Back
Top Bottom