Chuo cha St. Joseph kilichopo Boko bado kinatoa Shahada ya Udaktari?

Kuna mhindi mmoja tulikutana wote KCMC yeye akiwa INTERN siye tukiwa tunajitolea, basio alifanya kiroja ambacho ampaka leo kimefanya nisimwamini yeyote anayesoma pale labda niwe namfahamu... Ndo maana pale wengi wanaosoma ni wale ma-inservice wenye shida sanasana ya vyeti...
 
Uwongo mwingine ni aibu! Hakujawahi kuwa na mwanafunzi ambaye si ngozi nyeusi
 
Uwongo mwingine ni aibu! Hakujawahi kuwa na mwanafunzi ambaye si ngozi nyeusi
Pole sana kijana, mwaka 2007 sijui ulikuwa wapi??..😁😁.. Mi nilikuwa KCMC,pale Department ya Radiology , kila asubuhi tulikuwa na Presentation ya picha zote za X ray za siku ya jana yake na management iliyofanyika kwa mgonjwa, hii ilikuwa chini mzee mmoja wa Kijerumani Professor Diffental .... Sasa kuna INTERN mmoja Mhindi alikuwa kamaliza IMTU alifanya kiroja cha aina yake.. Kuna mgonjwa alivunjika kama siyo Distal au Proximal Tibia halafu yeye akafunga POP vice verca ya position ya Fracture (prox /distal)...
 
Pole sana kijana, mwaka 2007 sijui ulikuwa wapi??..😁😁.. Mi nilikuwa KCMC,pale Department ya Radiology , kila asubuhi tulikuwa na Presentation ya picha zote za X ray za siku ya jana yake chini mzee wa Kijerumani Professor Diffental .... Sasa kuna INTERN mmoja Mhindi alikuwa kamaliza IMTU alifanya kiroja cha aina yake.. Kuna mgonjwa alivunjika kama siyo Distal au Proximal Tibia halafu yeye akafunga POP vice verca ya position ya Fracture (prox /distal)...
Acha upuuzi dogo! IMTU siyo St Joseph University of Tanzania. Wanafunzi wao wa kwanza wa MD wamemaliza 2020 ujue
 
Sisters of DMI bonge la chuo, I love it nmepita hapo, Kama hukijui chuo hiki kaa kimya.
 
Back
Top Bottom